Afcon 2019 Egypt,Zimbabwe wanakosea wapi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
4,717
2,000
Kichwa cha somo chahusika,moja ya timu zinazocheza soka zuri msimu huu wa mashindano ya afcon ni Zimbabwe lakini inashindwa kupata matokeo,shida nini?
Mechi na Egypt ilionesha ubora wa Zim,mechi ya Uganda waliitawala na kushambulia sana lakini ndo hivyo wakaambulia sare,Zimbabwe inakosea wapi?
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
17,639
2,000
Musoni naona anatakiwa kuwork out about his umaliziaji. Jana kakosa magoali ya wazi jamani. Hasa lile kabaki yeye na goal. Aisee inasikitisha sana. Wanacheza soccer kabambe tatizo umaliziaji. Hope wataichakaza Congo walau waqualify kwenye best number 3 kila kundi.
 
The Sun-of-a Beach

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
778
1,000

Wamchakaze nani?Hao Congo wenyewe wameapa kuua huyo Zimbabwe wenu.Congo watakufa na mtu nakwambia.
 
The Sun-of-a Beach

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
778
1,000
Tatizo lenu Uganda mnaichukulia poa sana,na hasa jana mlienda mkiwa na matokeo yenu mfukoni dhidi ya Uganda.Kiufupi mlisahau kwamba hata Misri inaifahamu vyema Uganda,na wanajua pale kuna Okwi 7 anayehitaji kuwekewa a tight security ever muda wote.

Halafu kingine,hamkuona vile Uganda ilivyowakosakosa hao Zimbabwe second half,hasa dakika za majeruhi?Au mlikuwa mnaona kosakosa za Zimbabwe tu?
 
The Sun-of-a Beach

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
778
1,000
Umesahau kuwa walikuwa group moja katika kutafuta kukwalifai? Zimbambwe walimfunga DRC na waliongoza kundi. Hapana chezea the warriors.
Na hapo shida ndo ilipo,walishawahi kukutana.This time around punda aliyekaribu kufa (Congo) atarusha bonge la teke dhidi ya Zimbabwe.Na watakufa wote!Kuifunga mara 2 au zaidi timu mnayokaribiana nayo ubora huwa ni ngumu kweli kweli!
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
17,639
2,000
Na hapo shida ndo ilipo,walishawahi kukutana.This time around punda aliyekaribu kufa (Congo) atarusha bonge la teke dhidi ya Zimbabwe.Na watakufa wote!Kuifunga mara 2 au zaidi timu mnayokaribiana nayo ubora huwa ni ngumu kweli kweli!
Congo wana ubora gani sasa ? Hawana lolote. Niliwaangalia walipocheza na Uganda,jina nimewaangalia kwa the warriors lazima wakae.
 
KIN NIGGA

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,071
2,000
Musoni naona anatakiwa kuwork out about his umaliziaji. Jana kakosa magoali ya wazi jamani. Hasa lile kabaki yeye na goal. Aisee inasikitisha sana. Wanacheza soccer kabambe tatizo umaliziaji. Hope wataichakaza Congo walau waqualify kwenye best number 3 kila kundi.
Waulize zimbabwe kilichowakuta,alafu utengue kauli
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom