AFCON 2015 Qualifiers: Msumbiji vs Tanzania

Ulimwengu out,Ngasa In.

bado Msumbiji tunaongoza na Ngasa anakosa goli wakati akigusa mpira kwa mara ya kwanza
 
Samata anapiga bonge la goli nje ya 18 .

starz moja mambaz moja.
 
Hivi ikitoka hivi nani anaendelea
 
Goooooo jamaa kapiga goli la faulo umbali wa mita 35 na kutinga nyavuni.

Moza 2 Tz moja
 
Yaani dakika ya 90 tunafungwa shenzi kabisa Taifa stars bora hata msingeenda ijulikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…