AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Eurosport ipi? Zipo nyingi.

Nahisi kama wana Eurosport basi watakuwa na Eurosport International ambayo nadhani watakuwa wanaonyesha.
hawaonyeshi.
 
Jamani, south africa ni wa kawaida mnooo....labda ndiyo maana yanga anaweza funga timu yao ya nafasi ya 11 katika ligi ya timu 16!!!
 
Kama unatumia madish ya kawaida ya free satelite,mozambique tv TVM1, wanaonyesha
 
Reactions: EMT
Jamani, south africa ni wa kawaida mnooo....labda ndiyo maana yanga anaweza funga timu yao ya nafasi ya 11 katika ligi ya timu 16!!!
Hawa south africa wanaweza kuishia hapa kwenye makundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…