AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Angola wanaongoza goli 1 bila. Cape verde wamejifunga og...matokeo yakibaki kama hivi SA na Morocco wanaqualify
 
Kipa wa saouth kaokoa goli hapa ingekua tunaongea mengine
 
Goooal 2-1 moroko wanaongoza! Upande wa pili cape verde nao wamesawazisha
 
Goooal 2-1 moroko wanaongoza! Upande wa pili cape verde nao wamesawazisha
 
Mpira umekwisha SA 2 Morocco 2... cape verde 2 angola 1 kwa matokeo hayo SA na cape verde wanaqualify kwa robo fainali. Tukutane tena kesho hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…