Afariki Dunia Akitengeneza Umbo Lake

Alitaka akifanikiwa aje kuturingishia mjini Instagram
 
Na hawa wapopo wanavyojua kuongea, sasa hivi atakuwa anawapiga mikwala waliomkarabati ikashindikana
 
Alitaka kutufundisha nini huyu malaya mkongwe, ili iwe nini hiyo shepu, upumbafu tu unawasumbua hawa watu, alazwe anakostahili
 
Wanaijeria walivyo nashepu mbaya siku hizi huwezi wajua!kila mtu anashepu na kujichubua wanajichubua pua zimefanyiwa surgery huez mjua kama mnijeria tena,,,Noma sana,,,Watu wamegoma kujikubali!
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Kuna mdada anasoma huu uzi huku yuko na ticket yake tayari mfukoni anatusonya tu 😃
 
Wasichana inabidi wapende tu miili waliyopewa na Mungu.

Leo hii kuna njia za kufanya kujiamini na mwonekano wako. kuna mazoezi mtu anaweza kufanya kama anataka umbo lake liwe flexible na nzuri kuliko hao celebrities tunawaona huko kwenye tv na mitandao ya kijamii.
 
Na bado dada zetu hawajifunzi na hizi mambo. Kim kardashian, Vera sidika hao wote walikuwa waumini wa hizi plastic surgery lakini wameshaona ni miyeyusho.

Ifike kipindi dada zetu wajithamini vile walivyo.
Kejeli za wanaume ndio zinawaponza hao mnaowaita dada zenu.
 
wema sepetu
 
Vifo vingine ni vya kujitakia.
 
KWELI WALIO JICHUBUA WANATATIZO HILO, PENGINE NDIO SABABU YA KUFANYA NYUMA YA NYUMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…