Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,281
umenena vyemaPole zake turidhike na tulivyoumbwa hutapendwa na wanaume wote ila atatokea mmoja ataridhika na umbo lako na atakupenda
Hawataki kupendwa wanafanya biashara watu wengi wawatamani ili folen iwe kubwaWadada wanakosa kujiamini bure. Kila mwanaume anazo taste zake. Jinsi mlivyoumbwa kuna mtu atakupenda hivyohivyo.
Uje nikurekebishe mdada 😁R.I.P
[emoji16] 2012 Black Beautiful Lady(BBL) mmoja DAR - Airport alibahatika kuwa na Mzungu "Swedish" ktk mahusiano kimapenzi, Mzungu alidata hatari hadi akasepa naye kwao Sweden kutambulisha kwa Ndugu zake kisha akampatia yule Ke M 60, kuja DAR kutafuta eneo, kujenga nyumba kwa ramani waliyokubaliana nayo huku Mzungu akijipanga kwaajili ya kumuoa huyo Ke(harusi).Iwe fundisho kwa vikongwe wote wa bongo wanaojiita ma celebrite, ambao wanakwenda kulichezea hekalu la roho mtakatifu kwa upasuaji yakirudi yanaanza kujifanya ni matoto madogo, na sauti yanaigiza ya kitotototo kumbe kuna baadhi ya nywele hata zilizojificha zimeanza kubadilika kuwa nyeupe. Kucha kutwa yanafanya bearth day lakini tarehe za umri yanarudisha nyuma. Kila siku yanaolewa na kuachika kwa sababu wanaowapenda wanadanganywa na yale ma make up sasa siku wanapokuja kujisahau bila kujipaka jamaa anashtuka kumbe nilibeba kikongwe? analala mbele
Akaaaa bapa langu linanitoshaUje nikurekebishe mdada 😁
Subiri atakaporudi wewe mwenyewe utapenda ukafanyiwe, huo ndio ufundi wa watengenezaji.Wakuu Mwanadada mfanyabiashara na mtu maarufu mitandaoni kutoka Nigeria, Amelia Pounds mwenye umri wa miaka 28, amefariki dunia akiwa kwenye upasuaji wa kutengeneza shepu huko New Delhi India.
Mwadada Amefariki Dunia Wakati akiwa hospitalini Wakati zoezi la Upasuaji Likiendelea.
Week iliyopita Mwanadada Maarufu Kutoka Kenya Vera Sidika aliwaonya Akina Dada wasifanye Upasuaji wa kuongeza shape.
View attachment 2382555
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo linakuja pale mitomgozo inakuja kila baada ya miezi minne. Lazima uanze kujishuku. Alafu tako ndio mtaji hapa mjiniWadada wanakosa kujiamini bure. Kila mwanaume anazo taste zake. Jinsi mlivyoumbwa kuna mtu atakupenda hivyohivyo.