Afanyeje ili amnusuru mwanae asiwe hanithi?

fizo talent

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
2,256
Reaction score
3,889
Habari za mwanzo wa juma wanajamvi
Kuna tamaduni km sio mila japo sina uhakika km ni kwa makabila yote ama ni baadhi hususani kwa hapa TZ ya kwamba pindi mtoto anapozaliwa mzazi inabidi awe makini wakati kitovu kitakapoachia kisiangukie sehemu ya uume kwa mtoto wa kiume na kisiangukie sehem ya uke kwa mtoto wa kike endapo hilo litajitokeza kuna uwezekano mkubwa kwa mtoto wa kike asipate mtoto na kwa mtoto wa kiume nae asipate mtoto au hata atakapobaleh uume wake hautaweza kusimama.

Sasa kilichotokea ktk hii family historia inaonesha huyu mama mwanae wa kiume kitovu kiliangukia ktk sehem yake ya uume na ushauri aliokua anapewa ni achukue uume wa mwanae na kukutanisha na uke wake basi tatizo litakua limeisha.Ila kwa kipindi chote hicho mama alikua anaona ni kitu kisichowezeka na kupotezea kwa kua mtoto bado alikua mdogo.

Maisha yamesonga na mtoto amebalehe lakini kwa babu hamna maajabu yaani uume hausimami na mama mtu kahangaika sana kwa madaktari anàambiwa mtoto hana tatizo na akiangalia upande wa pili kwenye mambo ya kienyeji anaambiwa hakuna dawa zaidi ya kuchukua utupu wa mwanae na kukugusanisha na uke wake ikizingatiwa mwanae ameshakua na yeye mtoto ameanza kupata stories kwamba dawa ni afanye hilo tukio mama yake.Na mama MTU anajutia kwa dharau zake toka mtoto akiwa mdogo angeweza kufanya hilo na mambo yangeisha kimya kimya ila kwa sasa story zimezagaa kitaa na ikitokea mtoto akawa fresh bas kitaa kitajua kwamba bi mkubwa kashafanya yake na mtoto ndio ivo nae muda wote kakaa kinyonge.

Mdingi nae yupo haelewi afanye nini nimeuleta uzi kwenu wana JF nikiamini anaweza pata ushauri utakaomvusha ktk huu mtihani
 
Mdharau Mwimba Mguu huota Tendeee.. Siku zote Mila za Kiafrica zipo hawa wadada wanasoma hizi shule za Kukalili wanamdharau sana sasa Mtoto wake ndiyo hivyo alishakuwa hanithi kwa ubishi wake... Acha akome na dharau zake
 
Back
Top Bottom