afanye au asifanye???????

afanye au asifanye???????

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
mchumba wako yupo serious anaumwa na dawa yake ni kufanya sex na asipofanya sex atakufa ikifika dakika kumi na hiyo dawa imethibitishwa na madokta na ww hapo haupo apo ospital yupo best friend. je utamruhusu best friend wako afanye sex na mchumba wako au utamwacha afe
 
Hakuna ugonjwa hapa duniani ambao dawa yake ni kufanya sex na kama usipofanya sex utakufa...hakuna huo ugonjwa! Hiyo ni dhana ya kufikirika!
 
Hakuna ugonjwa hapa duniani ambao dawa yake ni kufanya sex na kama usipofanya sex utakufa...hakuna huo ugonjwa! Hiyo ni dhana ya kufikirika! Mkuu si unajua lakini its all about udaku au meshau tupo jukwaa gn?? ha ha ha ha!!!!!!!!
 
Huyo mchumba atakuwa na mshipa wa ngono hata akiolewa atakuwa anafanya ngono kupita kiasi, ushauri wangu vunja uchumba.
 
Huo sio ugonjwa atakuwa ameingiwa na jini mahabat. Dawa yake ni maombezi tu, mlete kanisani kwangu.
 
Back
Top Bottom