Afande wetu jamani

hawa jamaa mbona watakoma kila wakionekana ni picha tu wataogopa hata kutembea sasa
 


Aisee hiri rijamaa rina utani sana anarichezea taifa
 
hawa jamaa mbona watakoma kila wakionekana ni picha tu wataogopa hata kutembea sasa

Wamezidi hawa Wapoti wamejisahau hawaogopi hawajali ngoja citizen journalism ifanye kazi yake
 
Last edited by a moderator:
Wamezidi hawa Wapoti wamejisahau hawaogopi hawajali ngoja citizen journalism ifanye kazi yake

yaani leo kuna wawili walikuwa wanakunywa bia wamejificha bar kwenye kichochoro hawaonekani nimechekaaa
 
Last edited by a moderator:
Nawapa hongera hawa maafande wetu maana wayafanyayo ni sawa na ayafanyo rais wao. Vijana wanajuwa sana kuigiza. Hongeraz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…