Mtua kama wewe ndio mnachangia nchi hii kurudi nyuma yaani hata hufahamu kinachoendelea katika nchi hii,hivi unaishi wapi mjomba hata Rasimu ya katiba hujaisikia au kuambiwa inasemaje kuhusu Mbunge acha kupotisha watu mkuu kwa kukusaidia tu ni hivi Mbunge anatakiwa awe atleast na Elimu ya Sekondari na mwenye kuhitaji Degree ni RAIS so hata wewe kama una FORM 4 yako ruksa kuwa mbunge sema kwa Proffesor Maji Marefu Mbunge wa Korogwe Vijijini imekula kwake moja kwa moja maake yeye ni la sabaaaaaaaaaaaaaaa i mean STD 7.Kila la kheri king of rhymes lakini msumeno wa mbunge awe na degree utakukata,mr 11 naye yuko kitanzini mbowe imemkosa kidogo........,lema ni muhanga pia
Professor Maji Marefu Mbunge wa Korogwe Vijijini imekula kwake moja kwa moja maake yeye ni la sabaaaaaaaaaaaaaaa i mean STD 7.
Mwenzako ana masters tena ya kwa malkia wewe endelea kushangaaa
Why Afande Sele mbona wabakaji wako kibao? Makamba.Kapuya,naa nani sijui huyu mama viti maalumu narse wa bagamoyo kubaka kijana wa 26 miaka kwani hayo ndo maadili?Nyambaf1
Kwa profesa maji marefu
View attachment 123854
Haya bana!Kila la kheri mtupori! Lakini kauli zako zilenge zaidi jinsi gani utawaletea maendeleo wana morogoro ambayo Abood amekwama kuyatekeleza.
MH. ABOOD ANACHIMBA VISIMA VIJIJINI, ANANUNUA AMBULANCE (MAGARI YA WAGONJWA) etc.., KWA AJIRI YA WANANCHI HAYO MBONA HAONGEI.??! BANG MBAYA SANA MAANA KATI YA VITU ANAVYOPANGA HUYO MGAMBO SELE NI KUOMBA KATIBA IRUHUSU WABUNGE WA KIUME KUWA NA RASTA. HUU NI WEHU WA HARI YA JUU LABDA AKAJARIBU JAMAICA. KASHIDWA KUWAONGOZA GETTO BOYS/GIRLS NA WATU PORI A.K.A WASHAMBA ITAKUWA MJI KASORO PWANI..??
Wewe ukiwa huku unaongea utumbo mtupu..rudi kule kwa mabishost wenzio
watu jamii ya sugu, lema, nyasari, kibajaji na huyo aitwaye sele aliyefukuzwa jeshini na mvua nguo sidhani kama pale bungeni panawafaa. hawana mchango wowote zaidi ya matusi tu. kwanini chadema et al. wasiteue watu wenye akili zao kuliko hizi takataka? au ndo masilahi ya chama kwanza taifa baadaye?