tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,039
the guy is stupid na low iq, badala ya kumpigia magoti mke wake eti yeye ndiye anapigiwa magoti, such a selfish fool β¦
"Babaake tunda jema, naicheza karata dume"Mfalme wa Rhymes Afande Sele amemchumbia mpenzi wake Imani Makongoro baada ya kupita muda mrefu tangu kufariki kwa mzazi mwenzie Mama Tunda.
View attachment 3433400
Soma pia: Afande Sele: Utaratibu wa kutoka Kituo cha SGR - Morogoro haufai, unachelewesha Watu na unachosha abiria
Rafiki yake na msanii mwenzake Imani ameshea post hii ya Afande Sele kuchumbiana na Imani Makongoro na kuandika
"Hongera sana mwanangu Afande Sele pamoja na mwenzio Imani Makongoro kwa kuchumbiana (Engagement) Mungu awasimamie Jambo hili liwe na baraka tele".
"NB:Baada ya kukaa Mgane miaka mingi toka Mama Tunda ATUTOKE (RIP) hatimaye Mfalme kapata Malkia wa maisha yake".
Chanzo: EastAfrica TV
Tangu lina Jitu pori Simba zee akapiga goti wewe, yeye ndo mfalme wa nyika.the guy is stupid na low iq, badala ya kumpigia magoti mke wake eti yeye ndiye anapigiwa magoti, such a selfish fool β¦
Tangu lina Jitu pori Simba zee akapiga goti wewe, yeye ndo mfalme wa nyika.
Umeongea kwa hasira sana jomba! umemuonea wivu muolewajithe guy is stupid na low iq, badala ya kumpigia magoti mke wake eti yeye ndiye anapigiwa magoti, such a selfish fool β¦
πππππ ampige ngwala tena daaahhe is stupid, na wala haelewi maana na dhana nzima ya mwanaume kupiga goti, unapopiga goti unamuuliza mwanamke kama atakubali kuolewa na wewe hiyo ndiyo maana yake vinginevyo msiige mambo na mila za watu na kuziharibu yeye angeoa tu kimila chao labda ampige gwala mwanamke kumbaka na kisha kwenda kuripoti kwa baba yake kutoa mahali na kuweka ndani hiyo ndiyo mila ya kiafrika β¦
Olewa wewe basi upigiwe magoti
Umeona eehπOlewa wewe basi upigiwe magoti