Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
5,400
Reaction score
1,186
Mwanamziki mashuhuri Tanzania, anayejulikana kama Afande Sele Amejiunga na M4C, kwa kuingia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Mji wa morogoro ulirindima vifijo wakati Afande akizunguka na Msafara wa Piki Piki kuwaaga rasmi wale wasio na misimamo thabiti Kisiasa, kama inavyoonekana katika picha. kwa upande mwingine wapenzi wa CCM walionekana kuwa nahofu na uchungu, na walihisi sasa mambo yanazidi kuwa magumu sana kwao.

Kata ya mafiga wa upande wake ilionekana kutekwa kabisa na CHADEMA, huku katika mkutano wa Ndani Afande Sele alichaguliwa kushika nafasi ya Uenyekiti wa kata hiyo, katika kipindi hiki cha kushusha chama kwa wananchi (Program ya Chadema ni msingi), ambayo imekuwa mwiba mkali kwa CCM.
attachment.php
 
Attachments

  • SAM_0283.JPG
    SAM_0283.JPG
    1.1 MB · Views: 1,829
  • SAM_0287.JPG
    SAM_0287.JPG
    1.1 MB · Views: 1,595
  • SAM_0322.JPG
    SAM_0322.JPG
    1 MB · Views: 2,061
  • SAM_0334.JPG
    SAM_0334.JPG
    741 KB · Views: 994
  • SAM_0290.JPG
    SAM_0290.JPG
    1.6 MB · Views: 909
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
 
hebu tujuze uzuri amajiunga uanachama leo? my take ni pale mwanachama mpya kukabidhiwa cheo cha uenyekiti siku hiyo hiyo. Daima tukumbuke kiongozi ni lazma afinyangwe na kupikwa uzuri ili kujikinga na virusi masalia wasijipenyeze
 
Mwanamziki mashuhuri Tanzania, anayejulikana kama Afande Sele Amejiunga na M4C, kwa kuingia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Mji wa morogoro ulirindima vifijo wakati Afande akizunguka na Msafara wa Piki Piki kuwaaga rasmi wale wasio na misimamo thabiti Kisiasa, kama inavyoonekana katika picha. kwa upande mwingine wapenzi wa CCM walionekana kuwa nahofu na uchungu, na walihisi sasa mambo yanazidi kuwa magumu sana kwao.

Kata ya mafiga wa upande wake ilionekana kutekwa kabisa na CHADEMA, huku katika mkutano wa Ndani Afande Sele alichaguliwa kushika nafasi ya Uenyekiti wa kata hiyo, katika kipindi hiki cha kushusha chama kwa wananchi (Program ya Chadema ni msingi), ambayo imekuwa mwiba mkali kwa CCM.
Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.

Wakuu tuwekeeni ile picha afande sele kavua nguo na ile ya lema aliyovua nguo tuone nani mkali wa kusaula.
 
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !

wanataka ukombozi wa kweli kutoka cdm wamewachekeni wakoloni weusi nyinyiem upo hapo mkuu
 
Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.

Wakuu tuwekeeni ile picha afande sele kavua nguo na ile ya lema aliyovua nguo tuone nani mkali wa kusaula.

heshima mkuu muhim acha utoto
 
Big up Afande sele kwa kujitambua!hakika hii nchi kama hakutakua na mabadiliko ya utawala,kupata maendeleo ni kazi bure...
 
Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.

Wakuu tuwekeeni ile picha afande sele kavua nguo na ile ya lema aliyovua nguo tuone nani mkali wa kusaula.
Atuwekee picha ya jangili wa tembo pamoja na profesa Mlawiti!
 
Nilifikiri utampongeza, kwamba anaingia kwanye mambo ya watu wastaarabu. Ameachana na watu wenye roho mbaya na matusi kama wewe.
Mimi nimpongeze mtu anavua nguo hadharani ntaanzia wapi mie nendeni na mashetani yenu.
 
View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!
Ahsante mkuu kwa picha nilitaka waone watu huyo sele anayesemwa alivyokituko ha ha ha ha,bado ya yule mshikaji mwingine sasa kweli chadema manyago.
 
Ni vizuri kumpokea, lakini hili suala la kumpa cheo mwanachama ambaye hata hajamaliza siku ndani ya chama ni kosa kubwa sana la kiufundi. Kila mtu mkweli atakubaliana na mimi katika hili. Ninaipenda sana chadema lakini siwezi kuacha kukosoa pale inapolazimu.
 
Back
Top Bottom