Hawezi kuja hapa;huwa anaonekana sana siku hizi nyakati za usiku pale Balingeng'onyo resort akipata moja baridi-moja moto,na nahisi kajiondoa kwenye mamabo ya siasa hasa baada ya habari hizi kuzagaa Kyela kuwa vyama vya upinzani vinafikiria visisimamishe wagombea wao ktk majimbo ya Kyela na Rungwe ya Mwandosya!
Amekisusa hata kijiwe chetu cha Bondeni kwa Keny Mwanyerere,pia hata kule Bikutuka sijamuona siku nyingi pia