Afande Nyati and the road block!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,857
13,140
View attachment 67357
Ukipita nchi ya watu(wanyama) inabidi uwe mwangalifu na adabu juu.
Maafande wengine hawakopeshi wala kudai kitu kidogo!

Hao nyati watatu nimewakuta wameweka road block pale Mikumi.
Hawataki uwapigie honi wala kuwasogelea, usipofanya hivyo umekwisha!
Jamaa walisimama tuli katikati ya barabara, huku nikitweta.Niliwasubiri kama dakika nane hivi ili waniruhusu kupita.
 
Angekuwa tembo sawa lakini hao,piga mkwara kama unaenda kuwagonga watasepa wenyewe
 
Malafyale ufumile ku-mbeje? Asubuhi mafinga, isalahisi Mikumi, Anyway karibu mjini.
 
View attachment 67357
Ukipita nchi ya watu(wanyama) inabidi uwe mwangalifu na adabu juu.
Maafande wengine hawakopeshi wala kudai kitu kidogo!

Hao nyati watatu nimewakuta wameweka road block pale Mikumi.
Hawataki uwapigie honi wala kuwasogelea, usipofanya hivyo umekwisha!
Jamaa walisimama tuli katikati ya barabara, huku nikitweta.Niliwasubiri kama dakika nane hivi ili waniruhusu kupita.

mod mpe ban huyu,unaogopa wakati sisi ngorongoro watoto wanapidhana na chui,simba et al wakienda shule...waswahili hamna ktu kasi...wewe unaweza hata kuogopa yanga
 
Mkuu huko Ngorongoro wanyama na binadamu wanaishi pamoja.
Actually watalii nasikia wana-shake hands na wanyama hao siku hizi na kupiga picha nao!

Kweku sisi wild animals are treated with respect they deserve.
 
View attachment 67357
Ukipita nchi ya watu(wanyama) inabidi uwe mwangalifu na adabu juu.
Maafande wengine hawakopeshi wala kudai kitu kidogo!

Hao nyati watatu nimewakuta wameweka road block pale Mikumi.
Hawataki uwapigie honi wala kuwasogelea, usipofanya hivyo umekwisha!
Jamaa walisimama tuli katikati ya barabara, huku nikitweta.Niliwasubiri kama dakika nane hivi ili waniruhusu kupita.
Hao makamanda lzima ni Wangoni hao!
Je hapo karibu hapakuwepo mbawala, tembo na mapunda?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom