Afande Msoma Qur'aan anaweza kuwa katupiwa jini tusiisingizie Corona

Wachawi nawajua kama mi ndo nimewaumba vile. Kitaa nnachotoka mimi uswazi ni nyumba mganga, nyumba mchawi, nyumba mganga nyumba mchawi.

Mjomba mganga Shangazi mchawi. Mama mganga, mama wa Kambo mchawi.

Watoto wadogo vbaka machokoraa, dada zao malaya, Kaka zao majambazi.

Chimba fukia vunja Nazi nuia ndo daily life style.

Saikolojia ya Wachawi naifahamu kama samaki wanavyo Jua kuogelea.

Kuna kitu kimoja ambacho ni common karibu Kwa Wachawi wote. Wachawi wanapenda Sana Comouflage. Wanapo piga tukio la kichawi huwa Wana dress up the scene to make it look like something else.

Mfano wake ni kama kisa cha Yusufu na nduguze.

Baada ya Ndugu WA Yusufu kumuuza utumwani ndugu yao walichinja kondoo damu ya kondoo waka paka kwenye kanzu ya Yusufu kisha wakaenda kumpiga sound Mzee Yakobo kwamba mwanae ameuwawa na Simba.

Mzee alipo tazama kanzu ya mwanawe ilivyo chanwa chanwa na kuloa damu kweli aka amini mwanae ameuwawa na Simba.

Babu WA watu akamwaga chozi aki amini mtoto wake ameuwawa na Simba kumbe yupo kachukuliwa kapelekwa utumwani kama watu wengi Leo hii mnavyo walilia ndugu zenu mkiamini wamekufa kumbe wamechukuliwa utumwani usukuleni.

Mwaka 93 when I was still a Lil Bow Wow. Nilikuwa darasa la pili. Kuna Jamaa aliitwa Kobelo huyu alikuwa amemaliza la Saba tayari and he was like 18.

Jamaa alikuwa anaupiga mpira Mwingi hatari Kwa walio kuwa wanamfahamu Huyu Jamaa ambae kitaani alipewa jina Kipese akifananishwa na Thomas Kipese, na ambao walifariki at around 92 au 93 before December , basi huko mbinguni walipo watakuwa wanajua Huyu Jamaa huku duniani atakuwa ana chezea Barcelona au Real Madrid.

Mwaka Huo Pamba ya Mwanza walikuja Darusalama kucheza na Simba. Mjomba wa Kobelo akaenda kuongea na viongozi wa Pamba ya Mwanza Kobelo afanye nao mazoezi. Pamba ya kina Alphonce Modest.

Viongozi wakakubali na kweli Kobelo akaenda kufanya mazoezi na Pamba. Unaambiwa kiwango alicho kionyesha wazee wakamuelewa Sana wakaomba kuondoka nae Mwanza ili asaini Pamba msimu wa mwaka 94

Ilikua ni siku ya Jumatano. Mechi ya Pamba na Simba Jumamosi jumatatu Kobelo anatakiwa kusafiri na Pamba Hadi Mwanza.

Kwa kiwango cha Kobelo kama aangesaini Pamba basi msimu uliokuwa unafuata lazima Ange saini Simba au Yanga.

Habari zikatapakaa kitaani.

Jumamosi kukawa na harusi. Hizi harusi zetu za Kiswahili za watu kuoana bila dating. Kobelo alikuwa ni mmoja wa walio hudhuria harusi hiyo. Ilikua ni ya ndugu wa ukoo wake. He was lured to attend.

On the fateful day Kobelo anaenda kwenye harusi, Kobelo anakula Pilau baadae anarejea nyumbani kwao masaa kabdhaa badae tumbo kichwa kinaanza kumu Uma.

Maumivu yanaendelea kidogo kidogo. Joto linapanda Kwa Kasi ya ajabu Sana kiasi ungeweka sufuria la maji ya baridi kichwani kwake na baada ya dakika kadhaa maji yangechemka kama maji ya kunyonyolea kuku.

Kobelo anakimbizwa hospital. He dead on the arrival. Kumbe they didn't know he was gone toka enzi za Pontyo wa Pilato.

Safari ya Kobelo ikaishia hapo.

Back kwa Afande Ustaadh. Kifo chake kinaweza kuwa the handwork of his village people

Kwanini wamroge?

Kwa sababu ya kipaji chake cha kuhifadhi Aya za Qur'aan Tukufu.

Kwanini?

Kwa sababu ni utajiri. MTU mwenye karama hiyo Hawezi kuwa masikini hata siku moja.

Watu walishaanza kumuona na Alisha Anza kuwa maarufu. Na kama angekuwepo basi bila Shaka baada ya muda mfupi angeanza kupata mialiko ya ndani na Nje ya nchi kwenda kuwasomea watu dua. Baada ya muda mfupi sana.huyu Jamaa angekuwa milionea.

So Kuna uwezekano mkubwa Sana Huyu Jamaa akawa ametupiwa mdudu na watu WA nyumbani kwao.
Aisee we jamaa una chuki za wazi wazi na imani za watu wengine.. ukiambiwa uthibitishe huo uchawi aliorogwa utathibitisha? Mbona unakuwa na kashfa zisizokuwa na mpango! Au chukulia kafa baba yako mzazi kisha mtu kaja kaleta uzi kama huu vipi utajifeel! Kuwa mstaarabu, id fake na kusema nyuma ya keyboard isikufanye ukaandika vitu vinavyowakwaza watu wengine. Aliekwambia kuwasomea watu dua unakuwa tajiri mpaka wamroge marehemu kamanda ni nani? Hayo mambo yapo upande wenu unaanzisha kanisa lako unauza vitambaa vya upako, maji ya upako, mafuta ya upako etc. Hebu niambie shehe gani hapa bongo kazi yake kusoma dua kawa tajiri kumshinda mzee wa upako, gwajima, kakobe, mwamposa etc. Hayo mambo huku kwetu hakuna.. huyo kamanda r.ip alikuwa akisoma kwa mapenzi ya mwenyezimungu na wala si kutafuta chochote.
 
Nasubiri orodha ya millionaires wanaosoma Quran nchini
Tena millionaires kabisa
emoji848.png
Sio millionaire, aliejenga japo tu kibanda cha kulala mwenyewe tu shauli ya usomaji wa quran sio vibanda vya ulithi.. labda mleta uzi anajua huku kama kwao ukileta magumashi kidogo unapiga hela! Kama kuuza maji ya upako, mafuta, vitambaa etc
 
Wachawi nawajua kama mi ndo nimewaumba vile. Kitaa nnachotoka mimi uswazi ni nyumba mganga, nyumba mchawi, nyumba mganga nyumba mchawi.

Mjomba mganga Shangazi mchawi. Mama mganga, mama wa Kambo mchawi.

Watoto wadogo vbaka machokoraa, dada zao malaya, Kaka zao majambazi.

Chimba fukia vunja Nazi nuia ndo daily life style.

Saikolojia ya Wachawi naifahamu kama samaki wanavyo Jua kuogelea.

Kuna kitu kimoja ambacho ni common karibu Kwa Wachawi wote. Wachawi wanapenda Sana Comouflage. Wanapo piga tukio la kichawi huwa Wana dress up the scene to make it look like something else.

Mfano wake ni kama kisa cha Yusufu na nduguze.

Baada ya Ndugu WA Yusufu kumuuza utumwani ndugu yao walichinja kondoo damu ya kondoo waka paka kwenye kanzu ya Yusufu kisha wakaenda kumpiga sound Mzee Yakobo kwamba mwanae ameuwawa na Simba.

Mzee alipo tazama kanzu ya mwanawe ilivyo chanwa chanwa na kuloa damu kweli aka amini mwanae ameuwawa na Simba.

Babu WA watu akamwaga chozi aki amini mtoto wake ameuwawa na Simba kumbe yupo kachukuliwa kapelekwa utumwani kama watu wengi Leo hii mnavyo walilia ndugu zenu mkiamini wamekufa kumbe wamechukuliwa utumwani usukuleni.

Mwaka 93 when I was still a Lil Bow Wow. Nilikuwa darasa la pili. Kuna Jamaa aliitwa Kobelo huyu alikuwa amemaliza la Saba tayari and he was like 18.

Jamaa alikuwa anaupiga mpira Mwingi hatari Kwa walio kuwa wanamfahamu Huyu Jamaa ambae kitaani alipewa jina Kipese akifananishwa na Thomas Kipese, na ambao walifariki at around 92 au 93 before December , basi huko mbinguni walipo watakuwa wanajua Huyu Jamaa huku duniani atakuwa ana chezea Barcelona au Real Madrid.

Mwaka Huo Pamba ya Mwanza walikuja Darusalama kucheza na Simba. Mjomba wa Kobelo akaenda kuongea na viongozi wa Pamba ya Mwanza Kobelo afanye nao mazoezi. Pamba ya kina Alphonce Modest.

Viongozi wakakubali na kweli Kobelo akaenda kufanya mazoezi na Pamba. Unaambiwa kiwango alicho kionyesha wazee wakamuelewa Sana wakaomba kuondoka nae Mwanza ili asaini Pamba msimu wa mwaka 94

Ilikua ni siku ya Jumatano. Mechi ya Pamba na Simba Jumamosi jumatatu Kobelo anatakiwa kusafiri na Pamba Hadi Mwanza.

Kwa kiwango cha Kobelo kama aangesaini Pamba basi msimu uliokuwa unafuata lazima Ange saini Simba au Yanga.

Habari zikatapakaa kitaani.

Jumamosi kukawa na harusi. Hizi harusi zetu za Kiswahili za watu kuoana bila dating. Kobelo alikuwa ni mmoja wa walio hudhuria harusi hiyo. Ilikua ni ya ndugu wa ukoo wake. He was lured to attend.

On the fateful day Kobelo anaenda kwenye harusi, Kobelo anakula Pilau baadae anarejea nyumbani kwao masaa kabdhaa badae tumbo kichwa kinaanza kumu Uma.

Maumivu yanaendelea kidogo kidogo. Joto linapanda Kwa Kasi ya ajabu Sana kiasi ungeweka sufuria la maji ya baridi kichwani kwake na baada ya dakika kadhaa maji yangechemka kama maji ya kunyonyolea kuku.

Kobelo anakimbizwa hospital. He dead on the arrival. Kumbe they didn't know he was gone toka enzi za Pontyo wa Pilato.

Safari ya Kobelo ikaishia hapo.

Back kwa Afande Ustaadh. Kifo chake kinaweza kuwa the handwork of his village people

Kwanini wamroge?

Kwa sababu ya kipaji chake cha kuhifadhi Aya za Qur'aan Tukufu.

Kwanini?

Kwa sababu ni utajiri. MTU mwenye karama hiyo Hawezi kuwa masikini hata siku moja.

Watu walishaanza kumuona na Alisha Anza kuwa maarufu. Na kama angekuwepo basi bila Shaka baada ya muda mfupi angeanza kupata mialiko ya ndani na Nje ya nchi kwenda kuwasomea watu dua. Baada ya muda mfupi sana.huyu Jamaa angekuwa milionea.

So Kuna uwezekano mkubwa Sana Huyu Jamaa akawa ametupiwa mdudu na watu WA nyumbani kwao.
Wangapi wana hichomkipaji wamekufa au wamekuwa mamilionea?tokea enzi za sheikh Yahya hayo mashindano yapo na washindi wanaambulia laki tano na hatujasikia wamekufa kwa kurogwa.Si ajabu huyo kipese wako alikufa kwa mhemuko wa pilau.
 
Why alipost ile clip? Binadamu hawapendi mafanikio ya watu, cheo na mengine. Binadamu tunajiloga wenyewe muda mwingine, mchumba unamtangaza, gari unapost, nyumba unarusha fb, nani apende hayo? Nashukuru Mungu nimejifunza mengi sana katika hii dunia kwa haka kaumri, sasa naishi maana mengi nimeyajua tena kwa kina.
Kama ilivyoada yangu.... Simuamini yeyote hapa duniani.... awe mzazi au rafiki ima kaka au dada.
Namuamini Mungu tu maana yeye hawezi nitosa kwani ndiye aliyeniumba.
Pole sana kwa kufikisha umri huo, na bado huamini wazazi wako.
Kwangu Baba na Mama, ni Mungu wa pili.

Wangetaka wenda nisingefika umri huu, wengependa wangeweza kunidhuru kwa
Kwa namna yeyote ile. Wamenilea walijinyima kwa ajili yangu, nilipoumwa niliumwa nao, walijima sitarehe zao kwa ajili yangu leo nisiwaamini.

Nikikumbuka yule, alieyetoa nadhiri, alafu akataka kumchinja mtoto wake, na mtoto alipo julishwa hakukataa, aliona Baba ni Mungu wa pili.

Ee Mwenyezi Mungu naomba uendelee, kunijaza upendo kwa mzazi wangu mmoja aliebaki Duniani, na mzazi alietangulia mbele haki, umpe pumziko jema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachawi nawajua kama mi ndo nimewaumba vile. Kitaa nnachotoka mimi uswazi ni nyumba mganga, nyumba mchawi, nyumba mganga nyumba mchawi.

Mjomba mganga Shangazi mchawi. Mama mganga, mama wa Kambo mchawi.

Watoto wadogo vbaka machokoraa, dada zao malaya, Kaka zao majambazi.

Chimba fukia vunja Nazi nuia ndo daily life style.

Saikolojia ya Wachawi naifahamu kama samaki wanavyo Jua kuogelea.

Kuna kitu kimoja ambacho ni common karibu Kwa Wachawi wote. Wachawi wanapenda Sana Comouflage. Wanapo piga tukio la kichawi huwa Wana dress up the scene to make it look like something else.

Mfano wake ni kama kisa cha Yusufu na nduguze.

Baada ya Ndugu WA Yusufu kumuuza utumwani ndugu yao walichinja kondoo damu ya kondoo waka paka kwenye kanzu ya Yusufu kisha wakaenda kumpiga sound Mzee Yakobo kwamba mwanae ameuwawa na Simba.

Mzee alipo tazama kanzu ya mwanawe ilivyo chanwa chanwa na kuloa damu kweli aka amini mwanae ameuwawa na Simba.

Babu WA watu akamwaga chozi aki amini mtoto wake ameuwawa na Simba kumbe yupo kachukuliwa kapelekwa utumwani kama watu wengi Leo hii mnavyo walilia ndugu zenu mkiamini wamekufa kumbe wamechukuliwa utumwani usukuleni.

Mwaka 93 when I was still a Lil Bow Wow. Nilikuwa darasa la pili. Kuna Jamaa aliitwa Kobelo huyu alikuwa amemaliza la Saba tayari and he was like 18.

Jamaa alikuwa anaupiga mpira Mwingi hatari Kwa walio kuwa wanamfahamu Huyu Jamaa ambae kitaani alipewa jina Kipese akifananishwa na Thomas Kipese, na ambao walifariki at around 92 au 93 before December , basi huko mbinguni walipo watakuwa wanajua Huyu Jamaa huku duniani atakuwa ana chezea Barcelona au Real Madrid.

Mwaka Huo Pamba ya Mwanza walikuja Darusalama kucheza na Simba. Mjomba wa Kobelo akaenda kuongea na viongozi wa Pamba ya Mwanza Kobelo afanye nao mazoezi. Pamba ya kina Alphonce Modest.

Viongozi wakakubali na kweli Kobelo akaenda kufanya mazoezi na Pamba. Unaambiwa kiwango alicho kionyesha wazee wakamuelewa Sana wakaomba kuondoka nae Mwanza ili asaini Pamba msimu wa mwaka 94

Ilikua ni siku ya Jumatano. Mechi ya Pamba na Simba Jumamosi jumatatu Kobelo anatakiwa kusafiri na Pamba Hadi Mwanza.

Kwa kiwango cha Kobelo kama aangesaini Pamba basi msimu uliokuwa unafuata lazima Ange saini Simba au Yanga.

Habari zikatapakaa kitaani.

Jumamosi kukawa na harusi. Hizi harusi zetu za Kiswahili za watu kuoana bila dating. Kobelo alikuwa ni mmoja wa walio hudhuria harusi hiyo. Ilikua ni ya ndugu wa ukoo wake. He was lured to attend.

On the fateful day Kobelo anaenda kwenye harusi, Kobelo anakula Pilau baadae anarejea nyumbani kwao masaa kabdhaa badae tumbo kichwa kinaanza kumu Uma.

Maumivu yanaendelea kidogo kidogo. Joto linapanda Kwa Kasi ya ajabu Sana kiasi ungeweka sufuria la maji ya baridi kichwani kwake na baada ya dakika kadhaa maji yangechemka kama maji ya kunyonyolea kuku.

Kobelo anakimbizwa hospital. He dead on the arrival. Kumbe they didn't know he was gone toka enzi za Pontyo wa Pilato.

Safari ya Kobelo ikaishia hapo.

Back kwa Afande Ustaadh. Kifo chake kinaweza kuwa the handwork of his village people

Kwanini wamroge?

Kwa sababu ya kipaji chake cha kuhifadhi Aya za Qur'aan Tukufu.

Kwanini?

Kwa sababu ni utajiri. MTU mwenye karama hiyo Hawezi kuwa masikini hata siku moja.

Watu walishaanza kumuona na Alisha Anza kuwa maarufu. Na kama angekuwepo basi bila Shaka baada ya muda mfupi angeanza kupata mialiko ya ndani na Nje ya nchi kwenda kuwasomea watu dua. Baada ya muda mfupi sana.huyu Jamaa angekuwa milionea.

So Kuna uwezekano mkubwa Sana Huyu Jamaa akawa ametupiwa mdudu na watu WA nyumbani kwao.
mkuu umechungulia mbali sana,tena wakamsubiria ahamishwe aende mbali ndio wafanye yao ili kupoteza ushahidi wasijulikane kama ni wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wote wanaopata umauti wa ghafla wanakuwa wametupiwa jini! Ndugu, kama Mwenyezimungu hakukujalia uwezo wa kutafakari kabla ya kuandika na kupost ujinga kama huu, ni bora kutoandika chochote na kukaa kimya!.. This is absolutely nonsense!
Wachawi nawajua kama mi ndo nimewaumba vile. Kitaa nnachotoka mimi uswazi ni nyumba mganga, nyumba mchawi, nyumba mganga nyumba mchawi.

Mjomba mganga Shangazi mchawi. Mama mganga, mama wa Kambo mchawi.

Watoto wadogo vbaka machokoraa, dada zao malaya, Kaka zao majambazi.

Chimba fukia vunja Nazi nuia ndo daily life style.

Saikolojia ya Wachawi naifahamu kama samaki wanavyo Jua kuogelea.

Kuna kitu kimoja ambacho ni common karibu Kwa Wachawi wote. Wachawi wanapenda Sana Comouflage. Wanapo piga tukio la kichawi huwa Wana dress up the scene to make it look like something else.

Mfano wake ni kama kisa cha Yusufu na nduguze.

Baada ya Ndugu WA Yusufu kumuuza utumwani ndugu yao walichinja kondoo damu ya kondoo waka paka kwenye kanzu ya Yusufu kisha wakaenda kumpiga sound Mzee Yakobo kwamba mwanae ameuwawa na Simba.

Mzee alipo tazama kanzu ya mwanawe ilivyo chanwa chanwa na kuloa damu kweli aka amini mwanae ameuwawa na Simba.

Babu WA watu akamwaga chozi aki amini mtoto wake ameuwawa na Simba kumbe yupo kachukuliwa kapelekwa utumwani kama watu wengi Leo hii mnavyo walilia ndugu zenu mkiamini wamekufa kumbe wamechukuliwa utumwani usukuleni.

Mwaka 93 when I was still a Lil Bow Wow. Nilikuwa darasa la pili. Kuna Jamaa aliitwa Kobelo huyu alikuwa amemaliza la Saba tayari and he was like 18.

Jamaa alikuwa anaupiga mpira Mwingi hatari Kwa walio kuwa wanamfahamu Huyu Jamaa ambae kitaani alipewa jina Kipese akifananishwa na Thomas Kipese, na ambao walifariki at around 92 au 93 before December , basi huko mbinguni walipo watakuwa wanajua Huyu Jamaa huku duniani atakuwa ana chezea Barcelona au Real Madrid.

Mwaka Huo Pamba ya Mwanza walikuja Darusalama kucheza na Simba. Mjomba wa Kobelo akaenda kuongea na viongozi wa Pamba ya Mwanza Kobelo afanye nao mazoezi. Pamba ya kina Alphonce Modest.

Viongozi wakakubali na kweli Kobelo akaenda kufanya mazoezi na Pamba. Unaambiwa kiwango alicho kionyesha wazee wakamuelewa Sana wakaomba kuondoka nae Mwanza ili asaini Pamba msimu wa mwaka 94

Ilikua ni siku ya Jumatano. Mechi ya Pamba na Simba Jumamosi jumatatu Kobelo anatakiwa kusafiri na Pamba Hadi Mwanza.

Kwa kiwango cha Kobelo kama aangesaini Pamba basi msimu uliokuwa unafuata lazima Ange saini Simba au Yanga.

Habari zikatapakaa kitaani.

Jumamosi kukawa na harusi. Hizi harusi zetu za Kiswahili za watu kuoana bila dating. Kobelo alikuwa ni mmoja wa walio hudhuria harusi hiyo. Ilikua ni ya ndugu wa ukoo wake. He was lured to attend.

On the fateful day Kobelo anaenda kwenye harusi, Kobelo anakula Pilau baadae anarejea nyumbani kwao masaa kabdhaa badae tumbo kichwa kinaanza kumu Uma.

Maumivu yanaendelea kidogo kidogo. Joto linapanda Kwa Kasi ya ajabu Sana kiasi ungeweka sufuria la maji ya baridi kichwani kwake na baada ya dakika kadhaa maji yangechemka kama maji ya kunyonyolea kuku.

Kobelo anakimbizwa hospital. He dead on the arrival. Kumbe they didn't know he was gone toka enzi za Pontyo wa Pilato.

Safari ya Kobelo ikaishia hapo.

Back kwa Afande Ustaadh. Kifo chake kinaweza kuwa the handwork of his village people

Kwanini wamroge?

Kwa sababu ya kipaji chake cha kuhifadhi Aya za Qur'aan Tukufu.

Kwanini?

Kwa sababu ni utajiri. MTU mwenye karama hiyo Hawezi kuwa masikini hata siku moja.

Watu walishaanza kumuona na Alisha Anza kuwa maarufu. Na kama angekuwepo basi bila Shaka baada ya muda mfupi angeanza kupata mialiko ya ndani na Nje ya nchi kwenda kuwasomea watu dua. Baada ya muda mfupi sana.huyu Jamaa angekuwa milionea.

So Kuna uwezekano mkubwa Sana Huyu Jamaa akawa ametupiwa mdudu na watu WA nyumbani kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali gumu.

Wachawi hawana adabu.

They only fear Jesus.
If u don't have Jesus then u have to be sure that Ur naked from.the point of Evil people's observation
Kila nafsi itaonja umauti. Haijalishi ni mfuasi wa Yesu (Issa Ibn Mariam), Muhammad SAW au ni pagan. Hivyo jiepushe na upotoshaji wako. Kudhihirisha hili ndio maana umeona wachungaji (mnaowaamini kuwa wameokelewa .....and they have a good faith in jesus christ wamekufa kwa vifo vya ghafla kama alivyoondoka afande Masoud uliyeamua kumdhihaki. Yafaa ujielimilishe ili upate kustaarabika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachawi nawajua kama mi ndo nimewaumba vile. Kitaa nnachotoka mimi uswazi ni nyumba mganga, nyumba mchawi, nyumba mganga nyumba mchawi.

Mjomba mganga Shangazi mchawi. Mama mganga, mama wa Kambo mchawi.

Watoto wadogo vbaka machokoraa, dada zao malaya, Kaka zao majambazi.

Chimba fukia vunja Nazi nuia ndo daily life style.

Saikolojia ya Wachawi naifahamu kama samaki wanavyo Jua kuogelea.

Kuna kitu kimoja ambacho ni common karibu Kwa Wachawi wote. Wachawi wanapenda Sana Comouflage. Wanapo piga tukio la kichawi huwa Wana dress up the scene to make it look like something else.

Mfano wake ni kama kisa cha Yusufu na nduguze.

Baada ya Ndugu WA Yusufu kumuuza utumwani ndugu yao walichinja kondoo damu ya kondoo waka paka kwenye kanzu ya Yusufu kisha wakaenda kumpiga sound Mzee Yakobo kwamba mwanae ameuwawa na Simba.

Mzee alipo tazama kanzu ya mwanawe ilivyo chanwa chanwa na kuloa damu kweli aka amini mwanae ameuwawa na Simba.

Babu WA watu akamwaga chozi aki amini mtoto wake ameuwawa na Simba kumbe yupo kachukuliwa kapelekwa utumwani kama watu wengi Leo hii mnavyo walilia ndugu zenu mkiamini wamekufa kumbe wamechukuliwa utumwani usukuleni.

Mwaka 93 when I was still a Lil Bow Wow. Nilikuwa darasa la pili. Kuna Jamaa aliitwa Kobelo huyu alikuwa amemaliza la Saba tayari and he was like 18.

Jamaa alikuwa anaupiga mpira Mwingi hatari Kwa walio kuwa wanamfahamu Huyu Jamaa ambae kitaani alipewa jina Kipese akifananishwa na Thomas Kipese, na ambao walifariki at around 92 au 93 before December , basi huko mbinguni walipo watakuwa wanajua Huyu Jamaa huku duniani atakuwa ana chezea Barcelona au Real Madrid.

Mwaka Huo Pamba ya Mwanza walikuja Darusalama kucheza na Simba. Mjomba wa Kobelo akaenda kuongea na viongozi wa Pamba ya Mwanza Kobelo afanye nao mazoezi. Pamba ya kina Alphonce Modest.

Viongozi wakakubali na kweli Kobelo akaenda kufanya mazoezi na Pamba. Unaambiwa kiwango alicho kionyesha wazee wakamuelewa Sana wakaomba kuondoka nae Mwanza ili asaini Pamba msimu wa mwaka 94

Ilikua ni siku ya Jumatano. Mechi ya Pamba na Simba Jumamosi jumatatu Kobelo anatakiwa kusafiri na Pamba Hadi Mwanza.

Kwa kiwango cha Kobelo kama aangesaini Pamba basi msimu uliokuwa unafuata lazima Ange saini Simba au Yanga.

Habari zikatapakaa kitaani.

Jumamosi kukawa na harusi. Hizi harusi zetu za Kiswahili za watu kuoana bila dating. Kobelo alikuwa ni mmoja wa walio hudhuria harusi hiyo. Ilikua ni ya ndugu wa ukoo wake. He was lured to attend.

On the fateful day Kobelo anaenda kwenye harusi, Kobelo anakula Pilau baadae anarejea nyumbani kwao masaa kabdhaa badae tumbo kichwa kinaanza kumu Uma.

Maumivu yanaendelea kidogo kidogo. Joto linapanda Kwa Kasi ya ajabu Sana kiasi ungeweka sufuria la maji ya baridi kichwani kwake na baada ya dakika kadhaa maji yangechemka kama maji ya kunyonyolea kuku.

Kobelo anakimbizwa hospital. He dead on the arrival. Kumbe they didn't know he was gone toka enzi za Pontyo wa Pilato.

Safari ya Kobelo ikaishia hapo.

Back kwa Afande Ustaadh. Kifo chake kinaweza kuwa the handwork of his village people

Kwanini wamroge?

Kwa sababu ya kipaji chake cha kuhifadhi Aya za Qur'aan Tukufu.

Kwanini?

Kwa sababu ni utajiri. MTU mwenye karama hiyo Hawezi kuwa masikini hata siku moja.

Watu walishaanza kumuona na Alisha Anza kuwa maarufu. Na kama angekuwepo basi bila Shaka baada ya muda mfupi angeanza kupata mialiko ya ndani na Nje ya nchi kwenda kuwasomea watu dua. Baada ya muda mfupi sana.huyu Jamaa angekuwa milionea.

So Kuna uwezekano mkubwa Sana Huyu Jamaa akawa ametupiwa mdudu na watu WA nyumbani kwao.
umeunganisha visa vingi mpaka akina Yusufu.wewe ni balaa
 
nilipokuja na uzi wangu kuelezea jinsi wachawi watakavyotumia janga la corona kuumiza watu uliibuka na kudai hukubaliani na mada yangu alafu leo unaandika kitu kile kile usichokubaliana nacho aki wewe ni ndumila kuwili
Ulitakiwa uje na screenshot. Kaiba idea yako wakati aliipinga tena kwa matusi.
IMG_20200510_015007.jpg
 
Back
Top Bottom