Hebu niache bwana, kipi ambacho hujaelewa?
Au wewe ndio huyo afande nini?
Hahahaaaaa usipanic brother, najua unaongea sana kwa sababu wewe sio afande ila ndo ungekua huyo afande believe kwamba hapo ungebebwa tu maana huna nyenzo ya kukuvusha hapo, wala kuruka huwezi
Huyu afande katia aibu sana leo.Naona hadi WAKENYA wanatucheka!
Mimi nafikiri yeye anashiriki ktk kuongeza ajira hapa nchini wakuu. si amelipa ili kubebwa hapo 500/= imemtoka
Mimi nafikiri yeye anashiriki ktk kuongeza ajira hapa nchini wakuu. si amelipa ili kubebwa hapo 500/= imemtoka
Jamani kumbukeni ile muswada umesha sainiwa na ni sheria tayari jamani daaa
Ila ila aibu kuu
]H[/COLOR]angekataa kulipa angedondoshwa chini huyo kalipa kwani walipa kabla ya huduma hiyo. By the way wakenya hachana nao!
Hapo kwenye herufi kubwa hapoooo ..mie huwa nacheka sana ..kwa warwanda,wauganda,wareno na wasomalia Hawatatucheka:what::what::what::what::what::what::what:
Katia aibu tena mwanaume kubebwa mgongoni na mwenzake aibu kabisa.
Mimi nafikiri yeye anashiriki ktk kuongeza ajira hapa nchini wakuu. si amelipa ili kubebwa hapo 500/= imemtoka