Afande atembelea kwa BABU

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
FFU kwa Babu, Wamesahau waliyoyafanya.

attachment.php
 

Attachments

  • 194257_1858345507509_1507034707_31967867_4237197_o.jpg
    194257_1858345507509_1507034707_31967867_4237197_o.jpg
    176.5 KB · Views: 209
safiii mkuu lakini ukumbuke mliyo wafanyia wana Arusha, kama uyo Babu angekubwa na Mauwaji Re Afande ungepata kikombe? fikiria kabla ujatenda. iyo ni kwa Ma afande wote
 
safiii mkuu lakini ukumbuke mliyo wafanyia wana Arusha, kama uyo Babu angekubwa na Mauwaji Re Afande ungepata kikombe? fikiria kabla ujatenda. iyo ni kwa Ma afande wote
kweli kabisa. waliwafanyia kitendo kibaya kabisa. halafu wao ni wa kwanza kwanza kunywa dawa.
 
They follow ORDERS,that is what they are trained to do!

Mtawalaumu milele ila naimani hata wewe kazi unayo fanya kuna watu wana walaumu!

Wakulaumiwa sio polisi,ila wanao waamuru kufanya upuuzi
 
Hii thead ya toka jana kun wa2 wamei2mia.But thanx Mr.Mi nilivyoon title nikawa najua anayezungumziw hat ni yule Afande ambaye ni King of Bongo fleva.Heh!Kumbe ni visa vise
 
haroo babu niongeze rikikombe ringine limoja la dawa kabla lipapalazi halijaniona.fasta haroo...!!
 
Awa jamaaniliwapenda sana walipofika wakamsalimia babu na kumwambia babu akuna atakaekusumbua sie waziri wala yoyote sie ndie tunakulinda mpaka mwmisho wa maisha yetu tunaomba kikombe cha uzima kwanza babu...oohhh babu akagawa majiyabaraka baada ya hapo vijana wanachapa kazi wengine walikuwa waviviu maofisini mwao wanachakalika mpaka wanashangaana babu noma oohh
 
Huyo mkuu ni

afande zs mwombeji duh uko kunatakiwa kwenda jamanai niombeeni likizo yangu aijarudi majibu mpaka sasa mwisho j5 else naaga naumwa mharisho mpaka j3
 
Back
Top Bottom