Hapo usiombe akukute na kosa halafu ndio unarekodi, ni cheti straight to GAMBOSHI.
Nilikuaga na suzuki carry ya mizigo, nyuma nilikua nimeandika "MKE WANGU BANDIKA UGARI TU, MBOGA NAIREETA SAASAA HIVI"
Walikua wakiiona ni mwendo wa kudakisha hata kama Huna kosa..