Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga.
By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa
Hatakwenda na maadamu ICC hawana coercive powers, hatakwenda Watafanya nini?au tunafanyaje?
Atakwenda tu apende asipende! Amuulize Kenyatta na Ruto!Hatakwenda na maadamu ICC hawana coercive powers, hatakwenda Watafanya nini?au tunafanyaje?
Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga.
By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa
Magufuli sio muasisi wa utekaji. Kwa mfano, wakati Dr. Ulimboka anatekwa, Magufuli hakuwa Rais!Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga.
By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa
Kama mambo yataendelea kuwa kama yalivyo ajaye atafanya unyama zaidi ili kulinda Madaraka yake kwa sababu uamsho utakuwa maradufu kuliko ilivyo sasa
Kama mambo yataendelea kuwa kama yalivyo ajaye atafanya unyama zaidi ili kulinda Madaraka yake kwa sababu uamsho utakuwa maradufu kuliko ilivyo sasa
Effing dweeb 🖕🖕🖕Hatakwenda na maadamu ICC hawana coercive powers, hatakwenda Watafanya nini?au tunafanyaje?
Magufuli sio muasisi wa utekaji. Kwa mfano, wakati Dr. Ulimboka anatekwa, Magufuli hakuwa Rais!
Hatakwenda na maadamu ICC hawana coercive powers, hatakwenda Watafanya nini?au tunafanyaje?
Yupo kazini kupambana na legacy ya JPM(R.I.P) na kufanya cover kwa wahusika. Nawaza, yawezekana nakoseaunasahau
Duh...!kuna kitu nimekisema hapa Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... angalia last sentence。。。Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga.
By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa
Vinginevyo, ajifungie Tanzania. Na hii nayo itategemea tawala zijazo ni za watu wa aina gani. Akiingia mpenda haki anaweza kumkabidhi kwa ICC ili akajibu tuhuma zinazomkabili. Mazafaka wa Ufilipino (Duterte) yalimkuta haya!Labda kama angekuwa kiongozi wa UK, Germany, Russia, Israel, France, au nchi nyingine yoyote ya namna hiyo. Lakini kwa vile ni wa Tanzania, ataenda tu, asipoenda atapelekwa.
Majukumu ya nchi wanachama wa ICC ni kwamba mtuhumiwa akipelekewa unumbe wa kwenda mahakamani, akakaidi, inatolewa warrant ya kumkamata. Warrant ya kukamatwa ikitolewa, nchi wanachama zinatakiwa kumkamata kwa nguvu mtuhumiwa na kumpeleka mahakamani. Sasa kama mtuhumiwa mwenyewe akawa Rais wa Russia, Germany, China, France au taifa lolote lenye nguvu kijeshi, nani ataweza kwenda na kumkamata Rais mtuhumiwa? Ila kama anayetakiwa kukamatwa ni Rais wa Malawi, Burundi, Uganda, and the like, wanakuja wanakunyofoa kwa nguvu, kwa mwavuli wa kutekeleza takwa la uwanachama wa ICC. Kwa mazingira hayo, huyu wa kwetu ni aheri aende mwenyewe mahakamani kuliko kusubiri kunyofolewa kwa nguvu.
Naona haters wa Samia na Kikwete mnahangaika kuyakuza ya Samia na Kikwete ili kuficha au kuyadogoisha msiyoyataka ya wapendwa wenu. Hongereni sana.Magufuli sio muasisi wa utekaji. Kwa mfano, wakati Dr. Ulimboka anatekwa, Magufuli hakuwa Rais!
Ukiandika ukweli wako wanakupoteza wewe verified huwezi kuandika ukweli!Duh...!kuna kitu nimekisema hapa Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... angalia last sentence。。。
P