Kama ni hela sasa imekuwa ngumu usipofanya kazi halali mkono hauendi kinywani
Kama ni ajira sasa waajiri wanapunguza wafanyakazi biashara zinadondoka sekta binafsi imeanza kukonda
Fursa za biashara kufanya na serikali zinazidi kupungua maana serikali inaanza kufanya biashara hasa ya Huduma ndani ya taasisi zake
Uwekezaji mkubwa upo ila ukwepaji kodi umebanwa sana.Hii ilikuwa fursa ya kuibiwa
Maliasili has a viumbe adimu kama faru usikutwe kukutwa navyo maana utaundiwa time
Siasa sio kama za zamani hapa lazima kujiongeza ajenda nyingi zilizopewa chapuo na upinzani zimepewa chapuo kiutekelezaji
Mikopo kwa wafanyakazi wa uma ipo imesimama sababu ni udanganyifu hadi ombwe la wafanyakzi hewa na wanafunzi hewa limetumbuka
Taasisi za fedha kumbe zilituna fedha za serikali.Sasa serikali imehamishia BOT.Mabenki yanajua mziki wa hii kitu na jinsi mlaji wawisho anavyoguswa
Wachezaji wa football na makocha wa kigeni kumbe wanafanya kazi bila vibali na nyaraka muhimu za uhamiaji
Tutafikaje kesho?