Aendelee Na Safari Asiendelee!

Arudi nyuma kidogo, alafu ajitafakari!!!
 
Bila kufanya maarifa ya kupunguza mzigo sidhani kuna kitachowezekana
 
Hakuna hatari kubwa bado akitumia busara. Daraja bado linaweza kuhimili uzito wa gari hapo lilipo kwani ile miamba yake (vyuma) ni thabiti. Chaga za mbao ndizo mbovu. Malori haya siyo front wheel drive. Matairi yanayovuta gari yapo nyuma na hayajaingia darajani. Cha kufanya, aweke vigogo mbele ya tairi za nyuma kabisa za trela kuzuia gari kwenda mbele iwapo itatokea hivyo. Driver alirudishe nyuma (reverse) gari. Baada ya hapo busara zingine zitumike wakati gari litakuwa limetoka darajani.
 
Weka lock diff.halafu reverse tu hapo
 
Upunguze lile gogo zito zaidi..cc Bashiite
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
Hata kama ni kumwaga damu mwageni CCM itoke.
Inamaana hata sniper hakuna??
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
Hata kama ni kumwaga damu mwageni CCM itoke.
Inamaana hata sniper hakuna??
Dereva wa ROLI hajali kitu; mi nimevumilia ila akijaribu kupita hapa NARUKAMO.
 
mi naona aendelee tu hamna tatizo mradi hamna ukungu.
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
Hata kama ni kumwaga damu mwageni CCM itoke.
Inamaana hata sniper hakuna??
Wapo sema wanatetemeka mikono!
 
Arudi nyuma kidogo alenge sehemu zenye miamba ya chini aendelee na safari gari linafika salama hapo linapapita kila siku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…