Aende kozi gani? Amesoma CBG

Aende kozi gani? Amesoma CBG

Wakuu nina mdogo wangu kasoma CBG, na kwa sasa CBG ni kama wameitenga flani hivi kwenye masuala ya afya. Anapenda sana afya kwa yeye. Ningependa kupata muongozo kwenu, kwa matokeo haya hapa chini aende kozi gani?.

one ya 9.

Georg B
Chemistry D
Biology C
Bam S
Gs S
Kozi za SUA: animal science, aquaculture, Range management, human nutrition and food science, agronomy, Land use planning n.k kwa ufupi SUA atapata na mkopo 100% juu. Lakini pia jaribu ku-check vyuo vya Uganda kwenye mambo ya afya!
 
Shukraan sana kwa muongozo
 
Shukraan sana kwa muongozo
Angalia admission requirement hizo za Makerere kwa kozi za medical. Unawez kumsaidia kuulizia pia huko kama ndoto zake ni kusoma medical. Nimeona hapo kwenye Maths ana S hivyo anaweza kudahiliwa huko!
 
Attachments

Back
Top Bottom