Aende Halmashauri au Wakala (Agency)

Aende Halmashauri au Wakala (Agency)

Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu.

Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M.

Changamoto ni kwamba Halmashauri ni Permenent ila maslahi kidogo, TARURA unafuu wa maslahi ila ni mkataba (Renewable). Achukue Maamuzi gani?

Asanteni!
Aende halmashauri alafu akishathibitishwa kazini ataomba kuhamia TARURA AU TANROADS
 
Halmashauri huko utafanya mambo yako hakuna mtu anajali, TARURA akienda ni KAZI tu,fitina na majungu
Acha uvivu nenda tu uko kwenye fitina na majungu,utafanya kazi na kuwa na experience zaidi,huko wasikojali hakufai kabisaa,utalemaa kutokana na uko kutokujali.
 
Aende TARURA, akifanya miaka 10 anamzidi wa halimashauri aliyefanya miaka 30
 
Halmashauri kama ni DSM aende. Kama ni nje na dar ni bora akomae huko TARURA hata kwa mkataba. Kazi za halmashauri nje na dar atapambana na fitna, majungu, ukabila na kila aina ya stress!!!
 
Mawazo mazuri Kabisa Mkuu!
 
A
Kwenye Mkataba wa kudumu huko ndiko tunaweza kufungua makampuni na biashara na tunasimamia ,hakuna majungu Wala kuajiri mtoto wa dada ,huko ndio kuna kupanda madaraja sio kwenye ku renew mikataba,hiyo 2m ataipata baada ya miaka 3 na ma deal kibao
Asipofuata ushauri wako basi elimu haijamsaidia
 
Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu.

Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M.

Changamoto ni kwamba Halmashauri ni Permenent ila maslahi kidogo, TARURA unafuu wa maslahi ila ni mkataba (Renewable). Achukue Maamuzi gani?

Asanteni!
Kwenye ajira ya kudumu kuna fursa kama za mikopo nk
 
Aende Halmashauri, mkataba muda wowote unaweza temwa, aende halmashauri apige kazi mbeleni apiganishe aende kwenye hizo Agency anazotaka, aache ujinga kwenda TARURA.
 
Halmashauri 950K TARURA 2000K
 
Halmashauri 950K TARURA 2000K
Kumbuka ni mkataba na anaweza kosa renewable.Aende kwenye 900k anapata mkataba permanent then anarudi zake TARURA bila mkataba wa Masimango.Na ni rahisi kwa kuwa zote ni taasisi za Umma
 
Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu.

Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M.

Changamoto ni kwamba Halmashauri ni Permenent ila maslahi kidogo, TARURA unafuu wa maslahi ila ni mkataba (Renewable). Achukue Maamuzi gani?

Asanteni!
Ukiishakuwa Engineer kwenye hizo taasisi.
Unakuja kuwa "Mweupe" na uliyepitwa na wakati.
Sana sana unakuwa political Engineer.

NB: Achague TARURA.
 
Back
Top Bottom