Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu.
Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M.
Changamoto ni kwamba Halmashauri ni Permenent ila maslahi kidogo, TARURA unafuu wa maslahi ila ni mkataba (Renewable). Achukue Maamuzi gani?
Asanteni!