Advocate kisarika hatunae tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Advocate kisarika hatunae tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by adobe, May 14, 2009.

 1. a

  adobe JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Yule wakili maarufu kijana Kisarika amefariki jana asubuhi huko arusha.Wadau hebu mtupe hizo habari.
   
 2. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari ya kusikitisha sana,Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pma peponi .AMENI
   
 3. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kama umesikia na huna uhakika,sema kama ni tetesi au uombe watu wanao mjua wakupe taarifa.
  Wewe unatoa taarifa then hujui?
   
  Last edited: May 14, 2009
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  dooo aiseee poleni sana kama habari ni za kweli....
   
 5. a

  adobe JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 1,666
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  nimepigiwa sim sasa kwa sababu nimestuka sana ndo maana nataka nipate uhakika bwana shaycas.humu tunapeana taarifa we vipi mbona huna ushirikiano
   
 6. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wana JF jamaa amefariki kweli, amefariki akiwa Arusha. Hata nyumbani kwake pale tegeta kuna msiba. Hivi ninavyoandika huu ujumbe ndugu wa karibu wanasubiri taarifa ya daktari ili kujua kilichomuua marehemu. Marehemu amewahi kupata presha mwaka 2006. Marehemu alimpigia simu jamaa yake Arusha akimwambia amfuate haraka anajisikia vibaya, kufika jamaa akakuta Kisarika ameshadondoka, kumkimbiza hospitali wakaambiwa the learned brother hatunae tena. RIP
   
 7. Mama Subi

  Mama Subi Member

  #7
  May 14, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Mambo ya Mwenyezi Mungu haya. Wakati sisi wanadamu tunapanga yakwetu, yeye anatupangia ya uhakika zaidi. RIP brother Kisarika. You will be missed.
   
 8. F

  Felister JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2009
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  OOOOOhhh! No am shocked and may God rest his soul in peace my old friend Pious Kisarika! Pole kwa mkewe na family kwa ujumla pamoja na marafiki wote. Ananikumbusha enzi zetu kule hostel 2 kama sijakosea UDSM
   
 9. S

  Somi JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  poleni sana familia ya ndugu kisarika kwa msiba huu mzito,wakili kisarika alikuwa mtu wa watu,alikuwa na roho ya kutoa msaada wa haraka kwa yeyote mwenye tatizo,alisaidia hata wale wote walioshindwa kwa namna moja au nyingine kulipa garama za huduma yake na jamaa alikuwa na uwezo mkubwa ana katika kazi yake,mfano alimsaidia mmoja wa watu wangu wa karibu sana katika kesi yake ya nyumba.
   
 10. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  He will be laid to rest at his ancestral home at uru moshi, i will give you details later, it happened that, He is my close relative
   
 11. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sure mkuuu hususani masuala ya vifo sio fresh... Then nawapa pole ndugu jamaa na marafiki wa marehem..
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  May 14, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,798
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  In God's hands may you rest in peace forever!

  Tuliishi vizuri sana kama majirani pale Mwenge - miaka ya 1996
   
Loading...