Advice | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Advice

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Salma osman, Feb 26, 2011.

 1. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je? how wil u act if u truely love someone.n u miss him kiasi kwamba u fill lyke flyin whenever he is.kutokana na situation i can b wid him bt i nid him.help! I fil lyke dyin
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  kazi unayo ila subiri wa2 wa mapenzi watakusaidia
   
 3. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx dea
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Open up pls so that someone can advice you much better
   
 5. k

  kisukari JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  mmmh,wasiliana nae kila mara{siku hizi mawasiliano yapo ya aina nyingi tu},ila w.me wengine hawapendi kusumbuliwa hivyo,mrekodi maongezi yenu,kila ukim miss unasikiza maongezi yenu,yatakufanya ujisikie kama uko nae karibu.mkionana hakikisha unachukua kitu chochote kile chake,{mapenzi ni upofu jamani}kwa wewe unaependa kwa asiependa atakuona wa ajabu,ukimmiss unakuwa karibu na kitu chake chochote kile,pisha au shati lake,ukiwa ndani mwako unalivaa shati lake
   
 6. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hivi vifupisho vyenu sometimes vinafanya tusielewe mnataka kusema nini. sasa una maana gani u can be with him but u need him? kama unaweza kuwa naye sasa unam-need wa nini? si upo naye?
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Ebu toa mwongozo, tukushauri vipi?
   
 8. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uko arusha mm nipo nairobi.nihivi he his ma husband.i love him more than maself.i understnd him he is jobless.that why nime decide kuja hapa nyumbani nairobi.lakini aliko nikienda nitaumia na mwanangu kwa sababu sometymes tunamiliza siku km mbili hatulichochote.km niko mwenyewe nayeye singe jali lakini mtt ataumia.i miss him.bt lyfe is hard without job.
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama sielewi vile!!! Kama unaweza pangailia mawazo yako vizuri, yaweke katika mtiririko unaoeleweka, kama hujui kiswahili andika hata kwa kingereza, ili tujue unahitaji nini hasaaaa!!!

  Barikiwa!!
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Pole Salma,ni ngumu kweli kuwa na yule unayempenda mbali,na hasa pale ambapo inabidi iwe hivyo kutokana na hali yenu.vumilia na uzidi kumpa moyo na kumsisitiza au hata kumsaidia apate kazi huyo mumeo muweze kuwa pamoja na kulea mtoto wenu kwa pamoja.....Ni kipindi cha mpito kwenye maisha,mvumilie na wewe ujitahidi kujishughulisha kama huna kazi tafuta uweze kuwa msaada wakati huu.natumai nimekuelewa.
   
 11. Salma osman

  Salma osman Senior Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Okey dea.its this way am kenyan married 2 tanzanian.we ave been married 2 years now.i got baby girl with him she's 1 yr now.he lost he's job,since november last yr.i went 2 nairobi wid ma child coz of hunger.sometymes we stay without eating.only God knows how we lived.i dont know wat 2 do coz am in nairobi nd he's in arusha.i miss him sometymes i even cry.bt if i go there i will suffer nd i dont ave relative there.
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Aisee Pole sana Dada'ngu, ni mitihani tu hiyo ya maisha. Ila kwa kuwa umesema alipoteza ajira basi naamini kuwa yupo kwenye harakati za kutafuta ajira nyingine.. Kama anaweza kuwa na access na internet basi mnaweza mkawa mnaongea online via skype au messenger na itawasaidia ku-cover umbali uliopo na angalau itawasaidia kufarijika...
   
 13. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Nimekupata sasa pole sana mpendwa hiki kipindi ni cha mpito. Ila kama wewe pia huko kwenu mna uwezo unaweza ukawa msaada kwake. usikate tamaa shida zimeumbwa kwa ajili yetu tuziface. Usiache kumfariji katika kipindi hki kigumu.
   
 14. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  True love is not about the hugs and kisses, the 'I love you's' or the 'I miss you's', but about the chills that hit every part of your spine when you think about him...GO FOR IT GIRL,WHEN YA TWO STARVE WILL MAKE YOU EVEN STRONGER. Cha msingi nawe jitahidi msaidiane, si busara kuwa mbali na mwenzio sababu ya maisha magumu.
   
 15. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  NIMETOKA PATUPU, SIJAMUELEWA.
  Anyway ngoja niwahi majukwaa mengine, ILA POLE IN ADVANCE.
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  pole sana.
  Nafikiri mawasiliano ya mara kwa mara ni muhimu katika kipindi hiki.
  Halafu edit thread yako ile ile ya mwanzo maana sio wote wanaopitia post moja moja.
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,601
  Likes Received: 82,167
  Trophy Points: 280

  Pole sana..... For it was not into my ear you whispered, but into my heart. It was not my lips you kissed, but my soul.....that is the feeling my dear when you`re in loooooove and far away from that special person.

  No Air - Chris Brown & Jordin Sparks | Music Video | VEVO


   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Find a temporary replacement...
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Feb 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kingereeeza chako kim eniacha hebu nikimbiiie mbiiiio
   
 20. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #20
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  pole mydear, its understandable. ungekuwa huna mtoto mdogo ningekushauri uende tu huko arusha mstruggle wote, lakini kama inafikia hatua ya kukaa siku mbili bila chochote, huyo mtoto ataumia. bora tu uwe unapata walau once in a week or two wasaa wa kwenda arusha kumuona mwandani wako upooze machungu. pole, muombe Mungu nae atampa kazi nzuri
   
Loading...