ADVICE: Ninunue gari aina gani?


Nimemkatisha tamaa kivipi mi nimejaribu kumpa mtazamo tu ni japokuwa maamuzi makuu anayo yeye.
 
Nimemkatisha tamaa kivipi mi nimejaribu kumpa mtazamo tu ni japokuwa maamuzi makuu anayo yeye.

Nahi haukelewa swali la miss.
Ameomba ushauri wa aina nzuri ya gari kwa bei ya m 7.
Hajaomba ushauri wa nini anaweza akafanya kwa m 7.
 
Nahi haukelewa swali la miss.
Ameomba ushauri wa aina nzuri ya gari kwa bei ya m 7.
Hajaomba ushauri wa nini anaweza akafanya kwa m 7.

Basi tuyamalize kwa amani,Ehee leta habari zingine basi
 
Nunua hii hapa:

haitakutesha kwa mshahara wako kidogo.
Inakunywa mafuta kidogo, haisumbui kupata parking jijini na bei inalingana na pesa ulionayo.
Kila la kheri mkuu
 
Nahi haukelewa swali la miss.
Ameomba ushauri wa aina nzuri ya gari kwa bei ya m 7.
Hajaomba ushauri wa nini anaweza akafanya kwa m 7.
Ni kweli,
ukishawaza kununua gari sio rahisi kupokea ushauri tofauti na gari.
Miss kaishafanya maamuzi.
mwacheni avute gari.
CORONA PREMIO itamfaa
 
Tunashukuru umekuwa muwazi kuhusu kipato chako na fungu ulilonalo kwa ajili ya tukio hilo. Kwa mshahara wa laki tatu, sikushauri kununua gari kwa sabaabu hiyo hela ni ya mafuta esp kwa gari aina yoyote ambayo ina zaidi ya cc 1000, kumbuka bado hujala, kulipa kodi nk.
Ukitaka kufanya kitu ni vizuri kujipanga coz la sivyo utakuwa kama wale wenye magari alf asubuhi inabidi apite kwenye kituo cha daladala na kutangaza ...elfu moja posta,,, then na saa ya kurudi ...hivyo hivyo ilimradi abiria ndo wawe wanakujazia mafuta bila hivyo gari halikai barabarani.
 

kununua gari sio tatizo.....tatizo utunzaji.....kwa mshahara wako wa laki 3 hilo zoezi litakuwa kichaa'kwa mfano umenunua toyota carina st,cc1500 tu
1.mafuta kwa siku tsh 10,000 kwa siku 30 ni 300,000-mshahara umekwisha
2.service kila km 3000(sijui una misele gani wengine km 3000 mwezi mmoja) oil filter 10,000.....fuel filter 10,000.....air filter 10,000.....fundi 5000.....jumla 35,000
3.matairi na matengenezo mengine hayatabiriki......

sasa huu mshahara wa laki 3,kodi itoke humo humo,chakula humo humo.....kwa ushauri wangu usinunua gari wekeza uongeze kipato.....milioni 7 ni mtaji mzuri sana kama ukijituma......
 
Ushauri mwingi Uamuzi wako mwenyewe!!
Mimi nakushauri nunua Suzuki Kei - unapata CC 660, 4WD raha tele
 
M7 nunua suzuki carry mpe dreva hesabu kwa siku 30 th utaongz kipato kwa mshahara huo gari ya starehe majanga
 
Mi nadhani ungefungua buzness ya 5M, baada ya mwaka tunakusahau! ni dalili ya umaskini kuwaza kuongeza matumizi badala ya kuongeza kipato

Mnajuaje kama hana Hyo biashara? kila mtu na mipango mwachane afanye anachoona bora kwake mladi ananunua kwa hela zake
 

Ushauri bomba
 

Ushauri wako mzuri sana mkuu, kazi kwake sasa!
 
Mnajuaje kama hana Hyo biashara? kila mtu na mipango mwachane afanye anachoona bora kwake mladi ananunua kwa hela zake

Mbona unamjibia?? Tatizo letu wabongo tunamatumizi makubwa kuliko mapato na hatufikirii kuongeza mapato ila kuongeza matumizi (including me) ila tofauti tuliyonayo ni kuwa wengine tunapenda wenzetu wabadilike thats why tunatoa mawazo mbadala! kama hujayapenda unayapotezea tu,
 

aunt njoo nikuuzie spacio ya 99 safi kabisa , very economical
 

... Mkuu hudumu ya Service ya bei hizi inapatikana wapi? ili nami nikanufaike na hizi garama nafuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…