KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,319
Naomba kujua majukumu yake.
Make ka vile naona ameshindwa kazi na bosi wake Kova ndo anamfanyia.
Make ka vile naona ameshindwa kazi na bosi wake Kova ndo anamfanyia.
KakaJambazi kwani Advera si ni wa Makao makuu na Kova ni wa Kanda maalum?
Wala hatambui juu ya anachokiwaza ipo haja ya kufanya utafiti kisha ndipo ufungukeJambo usilolijua nikama usiku wa kiza