Atawahi kunipata? Mwenyewe bosi wangu kanikodishia mabaunsa wale wa kwenye WWE, wakiwa off kuna SWAT, Full time kuna FBI na CIA sasa yeye na hiyo jumpsuit yake tutaona.Anaenda kukutupa baharini manake umezidi kumsonga na hilo deni la boss wako NN!
Daaah unapendwa na boss wako hebu niangalizie kama kuna mtu mwingine anamdai anipe na mimi kazi ya kumsaidia kudai ili niwe na mabody guard..!Atawahi kunipata? Mwenyewe bosi wangu kanikodishia mabaunsa wale wa kwenye WWE, wakiwa off kuna SWAT, Full time kuna FBI na CIA sasa yeye na hiyo jumpsuit yake tutaona.
Hiyo hela atatoa tu mi nishaibajetia wikend hii SL...
Daaah unapendwa na boss wako hebu niangalizie kama kuna mtu mwingine anamdai anipe na mimi kazi ya kumsaidia kudai ili niwe na mabody guard..!
Lol, We kweli kiboko khaaa, wabajetia hela hujaishika mkononi?
Ngoja niandae cv kabisa, ila unisaidie kupiga debe mwambie kwa msisitizo kuwa nimemaliza mgambo mwaka jana...Kuna moja hivi amdai kigogo wa JF ilikuwa nikimaliza na supamani nianze hilo, hebu ongea nae akupe hiyo kazi.
Hehehee SL bajeti muhimu sio niipate halafu nianze kung'aa macho sijui pa kuanzia. Mikakati muhimu
Sawa, mgambo wa manispaa, top it up with ulinzi shirikishi sijui polisi jamii itatosha.Ngoja niandae cv kabisa, ila unisaidie kupiga debe mwambie kwa msisitizo kuwa nimemaliza mgambo mwaka jana...
Deni lenyewe la kupigia mahesabu liko kwa supamani?? Akikulipa ni bahati yako lol, angalia tu usijekopa vitu vya watu ukijua hela italipwa!..
Hajaniambia. Ila nimemwambia mapema mimi ni Superman. Sijui kama analielewa hilo.
haya superwoman. Inabidi uchange ID kabisa.
Really? If you really are: Mwambie MOD akubalidilishe ID yako uitwe WONDERWOMAN. Then utakuwa una powers fulani close to me. Nitakutafutia ID mpya siyo ya sasa uliyoshika nanihii . . . then we can have fun . . .
haya nishaMP invisible usihofu dawhring
Mmh, Vitaminin D kungekuwa na jua la asubuhi. Naona kama Mbu watakushambulia. Here take this . . .
Usim MP. M-PM kisha mpigie na simu. Mwambie una dharura.
Ukifanikiwa, you can imagine the un-imaginable!
Hapana, huwa napaka medi soft.....mbu hawanigusi!
If you want, you can request an adventure with Superman by making any request like to fly you around, stop any disaster etc and he will grant your request. Superman loves all people, helps them and protects them. But he is careful to go beyond the limits.
Do you want any adventure with Superman?
Yes, Adventures. This is Superman. Take any adventure with him. He prefers actions than words.
Nimeshamkumbusha.
Mkuu sina deni na mtu mie. Ila just in case ukihitaji pesa, here is the money. All yours!
Then twende huku kwanza . . . .
Ukiendelea kunisema vibaya nakudondosha! lol
Will be back . . . .