aclassicBoy
Member
- Jun 9, 2022
- 6
- 4
Habari za muda na wakati huu.
Npo hapa kutafuta mdhamini/Wadhamini (Sponsor(s)) wa Safari ya Kupanda mlima Kilimanjaro.
Atakayekuwa tayari kwa udhamini huo. Ntaitangaza Brand au Biashara ya kwa kupiga nayo picha mwanzo wa Safari mpaka Ntakapofika Uhuru Peak. Picha hizo atazitumia kupost katika Social Media zake.
Karibu tuyajenge PM,
Muwe na wakati mwema.