Athumani mm siyo mjjnga Kama wew unadhani advance ndio shule nimetoka kumpeleka mwanangu DIT kusoma engineering na nilimkataza kwenda hyo a level yako ya kupoteza muda
Mwanangu alipata 1.10 olevel Sasa mm baba ake nikipata ngapi enzi zangu acha upuuzi huu udr wangu siyo wa kupewa Ni wakuzotea darasani Hadi kufika hapa
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app