Hapana huu si ushauri mwema saana. Nilikuwa naamini kama wewe lakini nilikutana na walimu hasa na kama unajua computer kwa level ya intermediate, advanced course ni two days. Lakini kama unamatatizo yoyote kwenye advanced excels wewe post hapa, utasaidiwa. Ila usiende kwa walimu wetu wa mitaani. Kibongo bongo ni kuganga njaa saana.