Watu mnajua kujitoa akili kweli, Advanced diploma ni sawa na bachelor degree.
Mkuu umekwisha sema Adv Diploma sasa shida iko wapi? Kwa hiyo basi kwa Tanzania Adv Diploma ni degree? Hivi hiyo Adv. Diploma umeangalia alichukua masomo gani? Je, degree? Then, ndio nyinyi mnakuja kusema elimu imeporomoka. Angalieni vigezo na masomo ambayo mtu amejifunza kupata hiyo shahada nk. Spain kwa mfano wao wanatumia Baccalaureate lakini kama umefanya nao kazi utagundua wanapwaya sana katika sehemu flani flani, tuache kurukia mambo na kutaka kuhalalisha Advance diploma kuwa sawa na degree. Huo ni umburukenge.
AdvanceD Degree ianzishwe ili iwe equivalent na masters. Watanzania tuache short-cut.
unatakiwa kusema adv dpl ni watu gani tofaut yao na diploma nni ili tuelewe sio kuwasifiaDah...naona Mr itanifaa zaidi... nipo kwenye field ya engineering design kwa muda kidogo... waliosoma advanced dip wako vizuri zaidi....mawazo mapana.... good reasoning....wanaelewa upesi sana kuliko hao wengine....hii nadhani kwa sababu wengi wao wameanza kuwa na misingi ya engineering mapema...wengi wao wamesoma technical secondary school...wakaenda technical college....ni wazuri kwa kweli...wamebeba tools za kutosha vichwani mwao kuliko hao wengine....wako tayari kufanya kazi haraka zaidi kuliko wengine....fikiria kwa uchunguzi wangu nilibaini wale wa advanced dip huenda field training mara 5 wakati wale wengine huenda mara 3 -4 wakati wa masomo yao.....unaweza kuwauliza waliosoma advanced kitu muhimu sana...wa nne kati ya watano wakakuelewa....lakini kitu hicho hicho ambao hawakusoma advanced dip wote wasikijue kabisa...[emoji13] [emoji13]
Dah.....Unaweza kurudia kusoma mada kuu kiongozi? Maana naona hoja yako iko nje ya mada....šunatakiwa kusema adv dpl ni watu gani tofaut yao na diploma nni ili tuelewe sio kuwasifia
Poo understanding, poor grammar ,poor minded Tanzanian .Unfortunately, you're seriously cheating othersHuna unalolifahamu better keep quite and let those who knows better to inform you
Dah.... Naona unatiririka chief[emoji86] [emoji13]Poo understanding, poor grammar ,poor minded Tanzanian .Unfortunately, you're seriously cheating others
Mi nina wasiwasi na uwezo wako wa kuelewa mambo. Ila wapaswa hata kufahamu kuwa vigezo vya kujiunga first degree ni tofauti na advanced diploma na ukihitimu title ya vyeti vyenu ni tofautiUmenichekesha sana we mtu.
Khaa kwa hiyo ukaona umthibitishie in English kumuonesha kuwa uko educated enough to know that advance diploma is not equivalent to 1st degree..
I hope ujumbe amepata