Acha ukilaz. ww diploma ni equivalent ya A level?!!!!!!Navojua advanced diploma ni equivalent ya degree
Kama ambavyo diploma ni equivalent ya A level
Kilaza ni wewe usiyejua hilo hadi umri huu....Acha ukilaz. ww diploma ni equivalent ya A level?!!!!!!
Hivi kuna A level ambaye ni professional wa kitu fulan?! Mtu certificate au diploma huyu ni professional wa kitu flan ie education, nurse, and so forth .Unadandia mambo usiyoyajua tafuta cha kufanya wewe kama kufyetua tofali za udongo hii itakufaaKilaza ni wewe usiyejua hilo hadi umri huu....
uwiii huo ndo ukweli mchungu 😀😀😀😀😀😀 ladyredHivi kuna A level ambaye ni professional wa kitu fulan?! Mtu certificate au diploma huyu ni professional wa kitu flan ie education, nurse, and so forth .Unadandia mambo usiyoyajua tafuta cha kufanya wewe kama kufyetua tofali za udongo hii itakufaa
Hapa tunazungumzia 'equivalency' na sio profession flani..Hivi kuna A level ambaye ni professional wa kitu fulan?! Mtu certificate au diploma huyu ni professional wa kitu flan ie education, nurse, and so forth .Unadandia mambo usiyoyajua tafuta cha kufanya wewe kama kufyetua tofali za udongo hii itakufaa
Industrial country, wonderful enough and unfortunately I didn't know really who am I speaking to!Hapa tunazungumzia 'equivalency' na sio profession flani..
Ukiwa na cheti cha form six na ukiwa na diploma wote mnaingia degree...they are equivalents
Hujawahi ona kwenye criteria za kuingia vyuoni?am huko chuo unakusikia kwenye TV na radio
Huna unalolifahamu better keep quite and let those who knows better to inform you
Mkuu umekwisha sema Adv Diploma sasa shida iko wapi? Kwa hiyo basi kwa Tanzania Adv Diploma ni degree? Hivi hiyo Adv. Diploma umeangalia alichukua masomo gani? Je, degree? Then, ndio nyinyi mnakuja kusema elimu imeporomoka. Angalieni vigezo na masomo ambayo mtu amejifunza kupata hiyo shahada nk. Spain kwa mfano wao wanatumia Baccalaureate lakini kama umefanya nao kazi utagundua wanapwaya sana katika sehemu flani flani, tuache kurukia mambo na kutaka kuhalalisha Advance diploma kuwa sawa na degree. Huo ni umburukenge.
Umenichekesha sana we mtu.Industrial country, wonderful enough and unfortunately I didn't know really who am I speaking to!
Vitu viwili tofauti, tusichanganye reportHivi kuna A level ambaye ni professional wa kitu fulan?! Mtu certificate au diploma huyu ni professional wa kitu flan ie education, nurse, and so forth .Unadandia mambo usiyoyajua tafuta cha kufanya wewe kama kufyetua tofali za udongo hii itakufaa
Siyo degree ila ni equivalent,diploma siyo form six ila ni equivalent pia.Ndo kusema Advanced Diploma sio Digrii?
Jibu swali mkuu mbona unaingia chini ya meza..diploma na form six ni equivalents or not unapotaka kuanza degree?..Industrial country, wonderful enough and unfortunately I didn't know really who am I speaking to!
Umejichanganya.Mimi nilichokuwa najua ni kuwa Mwanafunzi anayesoma Adv Dipl anakuwa amekosa sifa sitahiki kimax za kuingia chuo kikuu, kwahiyo anasoma hiyo na akimaliza anaingia chuo 2nd year.
Na post graduated diplomaNdo kusema Advanced Diploma sio Digrii?