conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,132
- 807
advanced/higher diploma ni ngazi ya elimu katika katika mfumo wa nacte ambapo nacte wao wanatumia NTA levels (national technical awards) ambapo advanced/higher diploma ni NTA level 7 sasa ili mtu mwenye advanced/higher diploma awe equivalent na degree holder anasoma NTA level 8Wadau tafadhali msaada nimekutana na wahitimu wanaodai wana Vyeti vinaitwa Advanced Diploma nataarifiwa "eti" kuna sehemu wanalinganisha na shahada ya kwanza ya Chuo kikuu. Tafadhali mwenye ujuzI anijuze. Samahani lakini.
Hiyo ni NTA level 7Wadau tafadhali msaada nimekutana na wahitimu wanaodai wana Vyeti vinaitwa Advanced Diploma nataarifiwa "eti" kuna sehemu wanalinganisha na shahada ya kwanza ya Chuo kikuu. Tafadhali mwenye ujuzI anijuze. Samahani lakini.
Mkuu, hiyo unayoitaja sasa ni kwa kizazi hichi cha TCU na NACTE, kumbuka zamani ilikua ni Higher Education Accreditation Council. NACTE ilipoanzishwa ikaamua ku phase out mfumo wa Advanced Diploma na kuanzishwa Bachelor Degree.advanced/higher diploma ni ngazi ya elimu katika katika mfumo wa nacte ambapo nacte wao wanatumia NTA levels (national technical awards) ambapo advanced/higher diploma ni NTA level 7 sasa ili mtu mwenye advanced/higher diploma awe equivalent na degree holder anasoma NTA level 8
Sio kujikweza. Kuna kozi ambazo zilikuwa hazipatikani kwa degree. Kuna ndugu yangu alitaka alipata DIV 1 form 6, ila alitaka kusoma kozi ya BIMA (INSURANCE). Na kwa hapa nchini ni chuo cha IFM peke yake ndo kilikuwa kinatoa hyo kozi. Ilikuw ni lazima aende tu pale. Siku hz ndo wameanza kutoa degree, lakn those days ilikuw ni Adv. Dipl. tu. Kwahyo sio kwmb watu hawana sifa. Sema labda kwa sababu "degree sounds good".Diploma ni diploma tu haiwezi kuwa degree. Mambo ya kutaka kujikweza tu,kama huna degree huna tu.
Chuo gani kinatoa advance diploma ya engineering?Dah....mimi binafsi waliosoma advanced dip ya engineering Tz nawapendelea zaidi.....wanakitu cha ziada zaidi dhidi ya waliosoma BSc Eng au B Eng....[emoji13] [emoji13]
Dah..kwa sasa hakuna..ila DIT na MUST walikuwa wanatoa...wamebadilisha sasa wanatoa B Eng...lakini haina maana waliosoma ADE hawako kwenye soko 🙂🙂Chuo gani kinatoa advance diploma ya engineering?
Inategemea a kozi na madhumuni ya mhusika km adv dep anaanza na tgs d. Na degree anaanza na tgs d on the same institution unaenda kusoma ili iweje? Km tchnical course adv diploma yupo juu mno ya degree. Labda common course km communication skills nk ambazo wanazisoma ila sio km wa degree.Uanzishwe utaratibu Advanced Diploma wapewe additional course ili wafikie level ya Bachelor Degree.
Sio kujikweza. Kuna kozi ambazo zilikuwa hazipatikani kwa degree. Kuna ndugu yangu alitaka alipata DIV 1 form 6, ila alitaka kusoma kozi ya BIMA (INSURANCE). Na kwa hapa nchini ni chuo cha IFM peke yake ndo kilikuwa kinatoa hyo kozi. Ilikuw ni lazima aende tu pale. Siku hz ndo wameanza kutoa degree, lakn those days ilikuw ni Adv. Dipl. tu. Kwahyo sio kwmb watu hawana sifa. Sema labda kwa sababu "degree sounds good".