Ina maana wewe hujaona ulivyoandika majongoo...jifunze kuandika na kubali kukosolewa utajifunza mengi katika maisha yako, elimu ni bahariUandish upi unaoutaka wewe?
Bt cjapata?Uandish upi unaoutaka wewe?
Entry reuirements za adv Dip na Degree zilikua sawa?Hakuna sababu ya kuweka ligi, me sioni sababu ya hiyo ligi kujiona mmoja yupo juu ya mwingine, jibuni kisomi hapa co kijiweni. Mimi nlipomaliza adv.dip ckujua tofauti hadi nlipokuja kuajiliwa kwenye secta ya Elimu. Kwanza wkt wa tangazo la ajira walitangaza Degree/Adv.dip na nlifanya interview, tuliopita tulikua mchanganyiko wa Degree na Adv.dip na waliokosa pia vivyo hivyo. Kazini pia mishahara yetu ilikua inalingana, wakati ule ilikuwa laki5. Na wote tuliaminiwa sawa na wengine walionyesha uwezo mkubwa tu kuliko hao wa Degree.
Tungeomba mtu wa NACTE na TCU aje atufafanulie vzr. Ila hizo zilianza km education systems tofauti na kihistoria zilitokea mataifa ya nje na sisi tukazichukua na kuanza kuzirun parallel. Adv.Dip ilibase kwenye Compitence Based Education while Degree ilibase kwenye Knowlagebased education. Vyou vilivyotoa Adv.Dip kwa wakati huo vilikua IDM Mzumbe, IFM, TIA etc. lengo lilikuwa kuwapata wabobezi/pure/specialized. Degree waliandaliwa hasa kwaajiri ya manegerial, ila hawakubobea sana kwenye fani husika. Hivyo miaka ile graduate wa IDM au IFM wa A/C ulikuwa huwezi mlinganisha na wa UD,(Adv.Dip ya IDM,TIA na IFM ilikuwa pure Accountants). So Serikali haikuwatofautisha na degree kutokana na uwelewa na uwezo(utendaji kazi). Hivyo kuondoa confusion wakaamua kufuta Adv.Dip maana walikua wanailewa ni watu walioko kwenye system tu, huku nje watu hawajui na ndo sababu watu wa Adv.Dip kujiita degree ili kupunguza maelezo. LKN pia unaweza ilinganisha kwani ulikuwa huwezi kuijiunga na Adv.dip hadi uwe na Dip au A.lavel hivyo zilikuwa zinalingana sana. Na ukipata GPA nzuri unaenda Masters km kawa, hasa U.K
Acha kupotosha watu wewe. Advanced diploma lazima awe na First Class ndo ajiunge na Master's lakini degree hata 2nd lower class wanaendaAdvance Diploma ni sawa tu na Bachelor Degree...
Ndio maana vigezo vya kusoma Master Degree ni kuwa na Advance Diploma au Bachelor Degree kwa kuwa zina uzito sawa.
Kuna Ordinary Diploma na Advance Diploma... Ordinary ni kama A-level... Na Advance ni kama Bachelor Degree.
Note.Next time jaribu kuandika kiutu uzima... Acha huo uandishi wa Facebook.Watu wa huku wanapotezea Uzi ulioandikwa kitoto.
Huko accounting labda ziko sawa.Kwenye Medicine Advanced Diploma hata Baraza la Kitaaluma halijui wanafanya kazi gani!!
Hata Kusajiliwa hakuna!aUkitaka kwenda Degree uanze upya...
Hiyo ilikua zamani, siku hizi hakuna advanced diplomaNi upi utofauti wa level tajwa apo juu ndani ya nchi hii? Au utofauti ni kwenye hizo phrases tu bt evrything ni sawa? Nimefanya utafit mdogo (field of accounting TZ) wahitim wengi wa Adv Diploma orally hujitambulisha kama Bachelor degree na pia even ktk consideration ya matangazo mengi ya masters watu hawa wawili hua ni sawa, more beyond nafkir hata kwenye bodi za kiprofesion pia huekwa sawa eg level za kuanzia..
Pia nimeshuhudia cases nying watu wa Adv Dip kujiita Bachelors bt cjapata kuskia mtu wa Bachelor kujifananisha wacha kujiita ni Adv Dip, what is behind?
Conlusivelly nkaona wote ni sawa as per our nation system, if that is the case kwanin Adv Dip wasiwe admitted kama Bachelors tuu and vice versa also is true..
Next time usikurupuke kujibu...Acha kupotosha watu wewe. Advanced diploma lazima awe na First Class ndo ajiunge na Master's lakini degree hata 2nd lower class wanaenda