ADV motorbike

EHK

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
84
Reaction score
115
Habari wadau,

Naomba kupata experience yenu ya pikipiki za Adv kwa sasa nina options 3, Honda (& PCX), Kinglion na Sinoray. Lakini pia bike moja ya Sinoray, ina mwonekano wa Honda Vario. Naom a experience juu ya performance, durability, availability ya spare, changamoto zake etc.

Naamini Honda ama Yamaha zitakuwa nzuri zaidi ila bajeti yangu inaweza kuwa changamoto ila yote kwa yote ningependa kupata overall experience. Nawasilisha.
 

Attachments

  • 2025-Honda-ADV160-Matte-Green-Malaysia-2-BM-1200x899-1.png
    197.9 KB · Views: 10
Chukua Honda Pcx ndo natumia now nina miezi miwili tangu nimvue mtu...ni kali kinoma na salama.
 
Chukua Honda Pcx ndo natumia now nina miezi miwili tangu nimvue mtu...ni kali kinoma na salama.
naambiwa ni bora sana hii, sema sasa bei mlima.. nikasema wacha niangaze huku na huko kama kuna cheaper alternative.
 
naambiwa ni bora sana hii, sema sasa bei mlima.. nikasema wacha niangaze huku na huko kama kuna cheaper alternative.
Jana nilionja HONDA ADV ya mtu,dah inatembea na nyepesi sana aisee..
 
naambiwa ni bora sana hii, sema sasa bei mlima.. nikasema wacha niangaze huku na huko kama kuna cheaper alternative.
Bajeti yako sh ngapi maana unapata 4-6 iliyp safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…