Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,997
- 26,120
Jikumbushe, Samia anatoa milioni 10 kwa kila goli la simba , Yanga na Taifa Stars na analipa tickrti bure.Hamna hoja Adui wa mtu ni yeye
Jikumbushe, Samia anatoa milioni 10 kwa kila goli la simba , Yanga na Taifa Stars na analipa tickrti bure.
Hapo hapo Samia kupitia Waziri wake mwanamke Pindi Chana anaamuru kambi ya timu ya Tifa ya wanawake [Twiga Stars ] ivunjwe kwakuwa serikali haina pesa.
Wanawake ndio wamekata rufaa kesi ya kutaka mwanamke aolewe katika miaka 18, wao bado wanataka 14-16.
doctor., CHADEMA ilishakufa na hilo lilisemwa na Jiwe na wasaidizi wake.Tatizo la nchi hii sio wanawake au wanaume ni mfumo
Chadema na ccm ni chama kimoja
Yanga na simba pia ni timu moja.
1945 watoto wa Mwigulu wanaosoma FEZA watakuwa wabunge na mmoja naibu waziri mkuu.Ningali kijana ,namuomba MUNGU anipe afya njema na uhai niweze kushuhudia maisha ya siasa za Tanzania hadi kufikia mwaka 2045 itakuwaje?
Wanawake wote UVCCM na jumuia ya wazazi wapo kimya , hawamtetei GEKUL kwa kumuingizia kijana wa kiume chupa mk***i, hawaoni, hawaoni Gekul alishafukuza mume wake na hana mwanaume, sasa kumbuka alimvua jamaa suruali na dushe likiwa linaninginia..!Adui wa mwanamke ni mwanamke wenyewe.
Msemo mzuri sana wakufanya divide and rule kipindi hiki cha uferminist uliokithiri.
Du Gekul ndio nan?Wanawake wote UVCCM na jumuia ya wazazi wapo kimya , hawamtetei GEKUL kwa kumuingizia kijana wa kiume chupa mk***i, hawaoni, hawaoni Gekul alishafukuza mume wake na hana mwanaume, sasa kumbuka alimvua jamaa suruali na dushe likiwa linaninginia..!
Du Gekul ndio nan?
Umejuaje nawajua mkuu ? Naibu waziri wa sheria anavunja sheria , kibongo bongo apo hakuna kesi rejea ya sabaya.Unamjua Mange Kimambi , zuchu, Giggy Money ila humjui Gekul?
Mbunge asiye na Chama na Mtumbuliwa wa Nafasi ya Naibu waziri wa Sheria.
Hao nao ni mawaziri, kama hujui.Umejuaje nawajua mkuu ? Naibu waziri wa sheria anavunja sheria , kibongo bongo apo hakuna kesi rejea ya sabaya.
Noma nchi low I Q ndio wanapata airtime .Hao nao ni mawaziri, kama hujui.
Ndio wanaalikwa kuzindua kampenzi za waliopo madarakani na ndio wanafunga kampeni, si umesema huwajui?Noma nchi low I Q ndio wanapata airtime .
inaonekana una nywele za kwapa lakini una urge kama mtoto mdogo anayenyonya.Siasa na vyama unavyoona ni upinzani , ni kiini macho tu , hakuna upinzani mbele ya matumbo yenye njaa .
Upinzani wa kweli utatokea mpka mseme ,bado hamjasema.