Adui wa mwanamke kwenye ndoa

Adui wa mwanamke kwenye ndoa

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,481
Reaction score
1,450
Mama yangu aliwahi kuniambia kuwa kwa mwanamke aliyeolewa, adui yake wa kwanza wa maisha na uhai wa ndoa yake ni mdomo wake meenyewe. Usinyanyue mdomo wako mwanaume anapoongea haijalishi anachokiongea kinakukera kiasi gani. Usimuinulie sauti mumeo.

Kama mumeo ni mtu wa kuongea maneno machafu dhidi yako, ukimya wako siku moja ajisikie hatia na aibu hatimaye atabadilika na kuwa mume mzuri anayekuheshimu.

Mama yangu akamaliza kwa kusema kuwa, mnufaika nambari moja wa mume anapobadilika kuwa mwema ni mkewe na mhanga nambari moja wa mume anapobadilika kuwa mbaya ni mwanamke wake pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom