Adui Ujinga: bado tuna safari ndefu kumuangamiza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adui Ujinga: bado tuna safari ndefu kumuangamiza!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kizimkazimkuu, Mar 4, 2012.

 1. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Kwa mujibu wa ripoti ya survey iliyofanywa na National Bureau of statistics; Mikoa ya Tabora na Dodoma ndio inayoongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya wakazi wake kamwe hawajawahi kufika shuleni (na kuelimika)


  "....the highest proportion of the population who have never been to school is found in Tabora (42 percent for females and 34 percent for males and and Dodoma (40 percent for females and 33 percent for males)."
  Source: (Tanzania Demographic and health survey 2010)
   
Loading...