Adui Anamlipia Heche Matibabu India?

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
784
Reaction score
696
👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.

👉Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni wapambanaji, ila wanatibiwa India kwa gharama za mtu wanayemuaminisha kwa Watanzania kuwa ni adui.

👉Je inawezekanaje mtu anayesemwa kuwa adui akawa sehemu ya msaada wa matibabu, huku hadharani John Heche akiendelea kutajwa kama mpinzani?✍️
 
Propaganda nyengine ni ngumu sana. Heche ni binaadam, anaishi na watu na ana marafiki ambao ni watz kama wewe
 
Singasinga wa puto tumboni aliichangia CCM kwenye uchaguzi.
 
Huyo mtu anayewatibu Heche na familia yake, anatoa feza zake mfukoni mwake au ni kanuni ya kisheria ya kutibu viongozi na fedha za kugharamia matibabu kutolewa na Serikali kwa niaba ya umma?
 
Sawa tumekusikia, kachukue posho yako
 
Heche anatajwa kwa jina hao ma sponsor hawatajwi kwa majina, kwasababu hamtaki tuchimbe tujue ukweli wa mnachokisema.

Acheni michezo ya kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…