Jeff
JF-Expert Member
- Sep 26, 2009
- 1,293
- 202
Habar zenu wana JF
Naombeni msaada, nina site yangu (Udaku Leo - Pata udaku daily) ambayo hapo mwanzo adsense zilikuwa zinadisplay bila tatizo kwa zadi ya mwaka, lakini sasa ghafla tu zimeacha kudisplaya na sijapata information yoyote kutoka kwao kwa nini adsense hazidisplay kwa sasa. naombeni msaada kama kuna anayejua na kunisaidia. Nawashukuru wote