utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
Aisee nimekapenda hako katoto. Nyani Ngabu nilijua wakwako
Last edited by a moderator:
Video please
Aisee nimekapenda hako katoto. Nyani Ngabu nilijua wakwako
Don't touch that dial....just stay tuned!
Mbele ni mbele tu wa kwetu huku ni kucheza makopo na kuangukia kwenye mitaro ya maji machafu katoto kazurii kweliiii lol
mhhhhhh dina mpaka mtoto achezeee maji machafu *****/dadae anakuwa wapi
Si tunawaona yaan malezi ni bora liende atakua tu kwa uwezo wa Mungu eti tunajifarijiii yaan sie bana
Hahhhha ulitaka ukafanyajee
Haka kabinti nimekapenda kwa kweli.
Kamenikumbusha Kisura wangu wakati akiwa na umri kama wa haka kabinti (3-4) alipoanza mafunzo ya kucheza muziki kwenye dance academy.
Kila siku unaonyeshwa moves mpya halafu anajitia kukufundisha. Sasa yeye yuko limber zaidi yangu mzee mzima acha niwe nachemsha.
Baadaye nami nikaja kumfundisha kiduku. She picked it up real quick!
Little girls are hella fun.
Haya mwoneni Heaven akijimwayamwaya na mama'ke na 'Happy'....ile ngoma Pharell.
Aisee nimekapenda hako katoto. Nyani Ngabu nilijua wakwako
We ukicheza kiduku na mama yake anacheza ninii maana humtajii
Mamake wa nini?
Kwani huyo mtoto ulimnunua sokonii
Ni test tube baby.
Aisee nimekapenda hako katoto. Nyani Ngabu nilijua wakwako
Umeanzaa! !!???unaniongelea kipiga box eti
We're both bionic.
I'm a bionic daddy, she's a bionic daughter.
Together we form a formidable daddy-daughter duo.
Don't ever mess with us.