Bila kujifichaficha ndio mie Adolph Ritte, mwambie mwenzako nipo hapa asema alichoniitia humu.
We saudari mbona na mimi ni Adolf Ritte? Nilimaliza Mzumbe 2008Bila kujifichaficha ndio mie Adolph Ritte, mwambie mwenzako nipo hapa asema alichoniitia humu.
Tuko hujambo? mbona leo umeamua kuingia kwenye akili za mleta mada kaka yangu? hujaitendea haki avatar yako. Mimi namjua huyu jamaa tuliishi nae mitaa ya juu ya udsm miaka flani ila sijamuona muda kweliNaona mleta mada kaamua kuwa mjanja isije kuwa jamaa keshaoa, na mkewe yumo humu.... safi...
Sijambo mama...Tuko hujambo? mbona leo umeamua kuingia kwenye akili za mleta mada kaka yangu? hujaitendea haki avatar yako. Mimi namjua huyu jamaa tuliishi nae mitaa ya juu ya udsm miaka flani ila sijamuona muda kweli
Sijambo mama...
Ni rahisi sana kujua huyu mleta mada ndiye anamtafuta 'kiaina' Adolph... We hujaligundua hilo Mrembo?