Kabla sijaanza ku comment. Comparison zinazotoka na zitakazo toka hapa zitalalia sana kwenye mazoea. Kila mtu atasema software flani ni nzuri kuliko nyingine sababu ameizoea na ni rahisi kwa yeye kuitumia lakini sio kutokana na performance/Results or what that software can do.
Kwa kutumia vigezo vya Product Price, Platform, Performance, Easyness, na Uzoefu katika kuitumia mi naona Fina Cut Pro ni nzuri zaidi.