Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
Ndugu wanaJF, naamini wengi wetu hapa ni wapenzi wakubwa sana wa Photoshop na wangependa kujifunza. Sasa nikaona si vibaya tukichangia mawazo na uzoefu wetu na kweza kubadilishana ujuzi wetu. Naamini mtajitokeza wataalaamu wa Photoshop, na hata wale watumiaji wa kawaida na wale wanaopenda kujifunza.