Adobe photoshop CS3 Video tutorials | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adobe photoshop CS3 Video tutorials

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Tiger, Jul 16, 2012.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Heshima kwenu wakuu.
  Straight to the point,
  Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata video tutorials za adobe CS3.
  I real need it.
  Nimejaribu sana kucheck kwenye net ila kama hujui how and where to it ,find it's real hard.
  Mi niko Dar so kama kuna mtu anaweza kunipa soft copy nitashukuru.
  Nyingi za kwenye net zinauzwa ndo shida yenyewe.
  Thank you guys.
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,302
  Likes Received: 8,395
  Trophy Points: 280
  bado sijakuelewa mkuu.title inasema "adobe photoshop CS3 Video tutorials".maelezo yanasema video tutorials za adobe cs3.anyway njia rahisi ya kupata tutorials za software zote na za adobe zikiwepo ni kupitia mtandao wa youtube.huko utakutana na tutorials nyingi zilizo kuwa uploaded na mabingwa mbalimbali wa software za graphics,animation,video editing nk.ku-download ni bure hulipi chochote.ni ku-subscribe tu.hapa nakuwekea tutorial ya adobe after effect toka kwa bingwa mmoja anaitwa endrew kremer,huyu dogo anachezea almost software zote hata hiyo photoshop.kama vp subscribe kwenye channel yake ujifunze mengi zaidi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kwanini usijaribu kujifunza using vitabu?? kuna vitabu vingi vya .pdf naweza kukupa links if u are interested.
  P.S hongera kwa kujifunza ps, tena kwa kutumia CS3, ndo the very best ukiniuliza for beginners


  made from my CS3--> [​IMG]
   
 4. T

  Tiger JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu,
  title nimeandika kidhungu na hiyo bold hapo ndani nimeandika kiswahi kilichochanganyika na kidhungu.
  Ila nashukuru kwa post yako na nitaifanyia kazi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. T

  Tiger JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nipe link mkuu ya hizo pdf,
  mi nimesoma XHTML kwa pdf na nimeilewa vizuri tu.
  Asante kwa hiyo "hongera".
  Kwa sasa napiga course ya web desgning ndo maana nahitaji ps.
  Naona umenitaja jina langu kabisa, hongera na wewe kwa kunifahamu.
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
 7. T

  Tiger JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
 8. leh

  leh JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nipo kwa kusaidia :)
  naomba tu kitu kimoja.. unipe "like" au unipe "reputation" kwa kubonyeza hicho kistar chini ya thread yangu kwa kuwa nataka kukusanya as much reputation na likes as possible coz kuna siku nataka nifanywe moderator wa tech gadgets and science forum
  asante, leh
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. T

  Tiger JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ntawagongea like wote ila kwa sasa mnivumilie coz natumia simu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. leh

  leh JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  thanx man. ukihitaji anything, just say it
   
 11. leh

  leh JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kabla sijasahau Tiger, niko in the process ya kuandika thread kuhusu kutengeneza animated gifs. wewe kama web designer inabidi ujue kutengeneza gifs kwa kuwa zinatumika sana sana kwa html. sijui kama unajua kutengenza au unatumia program ipi (mi napendelea adobe fireworks for my animations ila coz sio popular naelekeza kwa kutumia photoshop) so kama vp uje ucheki sijaona tutorial nyingi kuhusu gifs out there. ninaanza na something simple ila siku ziendavyo nitafunza advanced gif making.

  regards, leh [​IMG]
   
 12. javascript

  javascript Senior Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ninazo video tuts from lynda.com za photoshop cs4 essential +advanced, html +xhtml, joomla, wordpress, php & mysql, javascript, css, sql..... zingine ni za 3d modeling & animation
   
 13. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jaribu kuangalia hii pamoja na hii pia
  kama walivyosema wengine Lynda pamoja na youtube wanatoa videos za ukweli.
   
 14. T

  Tiger JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nauliza kama wanafunzi wa yesu, "mwalimu, ni lini yatakuwa mambo haya?"
   
 15. T

  Tiger JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ntazipataje mzee wa javascript?
   
 16. T

  Tiger JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Thank u the support team members, sasa ndo naenda kufanyia kazi maoni na ushauri wenu.
   
 17. javascript

  javascript Senior Member

  #17
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  PM for more details tufanye biashara, nipo Arusha
   
 18. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Naweza kuzipataje mkuu??
   
 19. javascript

  javascript Senior Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Update: Ninazo tutorials za Adobe Photoshop CS6
   
Loading...