Elections 2020 Ado Shaibu: ACT kumsimamisha Membe iwapo atatimiza vigezo vinavyotakiwa

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
28,249
2,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Uzuri act bado sana kukubalika hivyo hata wakijipiga risasi mguuni hamna tabu...
Chadema mpaka leo hawajarecover na mumpokea lowassa..
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
22,111
2,000
Mkuu huoni pia ni kama wapinzani wanagawana kura ,as long nia ya nccr mageuzi inajulikana ni heri chadema na act waungane ila siyo kusimamisha watu wa ccm
Chadema haijafanya kosa lolote la kumchukua Lowassa,Sasa waulize NZI wa kijani watakwambia 2015 ilikuwa hatari hawataki ile hali ijirudie ndio maana wamenunua wapinzani kwa gharama kama YOTE.

Membe kwenda ACT kwasasa tumbo la SISIEMU lishavurugwa ila ACT wamefanya mapema sana kuweka mkakati wao wazi.

KAZI NA BATA.
 
Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
22,111
2,000
Chadema wasingempokea lowasa na hata wangeshindwa bila lowasa bado wanachama wengi wangekuwa na imani,chadema ilikuwa inakabili vitu viwili 2015 ,either lowasa ashinde ,na asiposhinda imani ya wanachama kupungua
Uzuri act bado sana kukubalika hivyo hata wakijipiga risasi mguuni hamna tabu...
Chadema mpaka leo hawajarecover na mumpokea lowassa..
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
4,928
2,000
Mkuu huoni pia ni kama wapinzani wanagawana kura ,as long nia ya nccr mageuzi inajulikana ni heri chadema na act waungane ila siyo kusimamisha watu wa ccm
Nakubaliana na wewe ACT waungane na CDM wamsimamishe MEMBE!! COmbo ya MIAMBA iliyotoka CCM ikaingia UPINZANI ni hatari,MAGU hawezi kuisahau 2015 nakwambia,wamshukuru LUBUVA kawaokoa kwa goli la mkono lakini walikuwa wameshaumia.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
5,693
2,000
Membe siyo CCM, Membe ni mwananchi huru
Kudhani Membe ni CCM ni sawa na kudai kuwa Maalim Seif ni CCM eti kwa sababu naye amewahi kuwa CCM. By the way maalim Seif na Membe wote wanashare characteristic moja, Wote walifukuzwa CCM.

Ado ameongea vizuri kuwa kama Membe atafikia vigezo basi agombee kupitia ACT, mimi. naunga mkono asilimia mia kwa mia kwanza
1. Kitendo cha Membe kusimama against JPM tangu akiwa ndani ya CCM ni kitendo cha kishujaa sana, maana yake anajiamini na yuko tayari kupambana ili kuwasaidia watanzania dhidi ya utawala dhalimu wa sasa wa CCM

2. Pili Membe amepikwa kiuongozi ameiva, CV yake ni nzuri, ana sifa nzuri sana za uongozi, ana exposure na siyo katili

3. Membe ni mwanadiplomasia makini, anaamini katika demokrasia, amejiandaa kwenye uraisi, hakurupuki kuutaka uraisi. Kiufupi yuko vizuri kulinganisha na mtawala wa sasa.

ACT tuleleteeni Membe, msirudi nyuma
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
7,704
2,000
Chadema wasingempokea lowasa na hata wangeshindwa bila lowasa bado wanachama wengi wangekuwa na imani,chadema ilikuwa inakabili vitu viwili 2015 ,either lowasa ashinde ,na asiposhinda imani ya wanachama kupungua
bila kumchukua lowasa 2015, a united chadema ingekuwa kitisho kikubwa kwa watawala leo hii.
 
Maige S Chagu

Senior Member
Sep 22, 2018
113
250
membe hana legacy yoyote, amewahi kuwa naibu waziri na waziri kipindi cha mtani wangu JK,nani anaweza kusema hapa tutamkumbuka membe kwa lipi katika hicho kipindi kuanzia 2005 hadi 2015 alipokuwa naibu waziri na waziri.Ninachoweza kukikumbuka kutoka kwa membe ni tabia yake tu ya kupenda kujimwambafy na ufundi wa kuongeaongea vijimaneno tu, hakuna kingine alichokifanya au kukisimamia akiwa kiongozi.Hana tofauti na mtani wangu Hajji Manara wa simba na tena bora hata manara huwa anahamasisha mashabiki timu inashinda wakati mwingine Ila ikikutana na Yanga mmmh.Bora act-wazalendo imuombe ndugu Hajji Manara awe mgombea wake wa kiti cha urais kuliko huyo membe.
 
mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
1,988
2,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Nafikiri wanahisi atawabeba kama Lowassa alivyoibeba Chadema,nasema haitatokea kama ilivyotokea kwa Lowassa ,sanasana Membe atajizika kisiasa totally,hakuna mwana ccm nje ya ccm aweza kuwa na ubavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
1,535
2,000
Wapinzani wasipojiunga na kutengeneza chama kimoja. Wasahau kabisa kuiondoa ccm madarakani. Maana wafuasi wa ccm tulio na kadi ni 3/4 ya wapiga kura wote wanaojiandikisha kupiga kura. 1/4 ndo wanalambalamba upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitaturu

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
5,477
2,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Wewe ni takataka uliyetupwa toka dust bin lipi?
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
86,522
2,000
Naona mleta uzi hujui haki zako kikatiba hasa ile ya KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA.

Membe alishafukuzwa ccm hivyo ana haki ya kimsingi ya kujiunga na chama chochote cha siasa ambacho atakubaliana nacho na akipata nafasi ya kugombea hiyo ni haki yake.

Wacheni mawazo ya wivu wa kijinga.
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
In God we Trust
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,007

Wakikua wataacha
Hawakulitambua kosa naona
Wasiseme hatukuwaambia
 
Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
37,629
2,000
Zitto hili litakuwa kosa kubwa sana.Wapinzani ni bora mkasimama wenyewe kuliko kuchukua watu kutoka CCM kwani hivi sasa wananchi wanaona hawa wanakuja tu kuvuruga upinzani.

Huyo Membe akihamia chama chenu(ACT). ataanza kufanyiwa mizengwe na kwa pressure ya ndugu zake,watoto wake,mke wake na hata jamaa zake, anaweza kuamua kurudi CCM ili abaki salama yeye na familia yake na mali zake.

Usisahau hamahama kwenda/kurudi CCM bado inaendelea jambo linalowakera sana wananchi, hivyo kumchukua Membe na kumfanya mgombea katika mazingira haya, ni sawa na kumwaga acid kwenye kidonda,kidonda ambacho ni mioyo ya wananchi inayosononeka kutokana na kusalitiwa na wanasiasa waliowapigia kura wawe viongozi wao kwa ticket ya upinzani.

Mpokeeni ila msimpe nafasi ya kugombea ila kama ana nia,basi awasaidie kwenye kampeni lakini sio kumfanya mgombea.

Wananchi sio tu watakata tamaa na upinzani,bali watawadharau sana wanasiasa wa upinzani.
 
Top Bottom