Elections 2020 Ado Shaibu: ACT kumsimamisha Membe iwapo atatimiza vigezo vinavyotakiwa

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
29,084
2,000
Chadema haikufanya makosa na walipata faida kubwa sana ya kumchukua lowasa
Walipata faida gani? Kura ilizopata cdm hata Lowassa asingekuwepo bado cdm ingelizipata, na bado aliyegombea angekuwa cdm.
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
3,213
2,000
Bado huu upuuzi wa kusimamisha wagombea kutoka CCM wanauendeleza? Dah wanatia hasira kabisa
 

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
9,787
2,000
Ni upumbavu kutangaza mgombea kwa njia hii..
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
 

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
9,787
2,000
Hii ijaonyesha hawapo makini au wamesha jua membe haendi kokote wanataka kuwahangaisha ccm.

Hadi sasa chama cha upinzani Tanzania ji kimoja tuu chadema.

Juventus waliwahi kucheza daraja la pili lakini wamerudi
Uzuri ACT wanaongea kabla ila chadema walishtukiza tu,mara lowasa tayari kawa mgombea
 

BUBERWA D.

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
1,950
2,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Political enterpreneurship. Hapo inapigwa hesabu kali ya kupata walau 5% ya kura ili kutimiza sharti la kisheria katika mpango mzima wa ruzuku.
 

NJOLO

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
505
1,000
Kama Membe kwenda ACT kutaleta msisimiko wa Kisiasa na kuleta ushindani na uhai wa Demokrasia bila kuvunja amani na Sheria za Inchi ni vyema afanye hivyo.
Kama tutakuwa hatuna upinzani wa kutosha ndani ya Inchi, CCM itafika mahali itakua lege lege kulingana na Maono ya Hayati Mwalimu Nyerere.
Sasa hivi hatuweze kusema tuna CCM imara ila tunakiri kuwa tuna Serikali Imara sana baada ya ile ya Nyerere.
Tujiulize, akiondoka Mh. Raisi Makufulu je CCM lege lege italeta mgombea imara?
Je Uongozi bora ambao unaongozwa na Mh. Raisi Makufuli unaosimamia mali za umma kwa umakini mkubwa ni endelevu?
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,116
2,000
Si alifukuzwa ccm? kwanini asiwe na haki ya kutafuta chama?
Watu hawataki demokrasia ya kweli, kila mtu ana uhuru wa kushirikiana na yeyote yule kisiasa.
Mimi naona hilo ni jambo jema, Mh. Membe aje ashindane na mgombea wa CCM ili kukuza upinzani na kuwafanya CCM wasilale usingizi na kufanya watakavyo bila woga.

Membe anayo haki ya kuendelea na siasa popte anapoweza kukubalika.
 
Top Bottom