Application yangu ya NIT bado iko pending, je imepokelewa?

hashimuboy

Senior Member
Sep 19, 2017
131
56
Jaman naombeni ushauri nifanyeje ndugu zangu nilifanya application online chuo NIT lakini sikumaliza last step ya submission kutokana na ubovu wa mtandao kugoma na ndo ilikua deadline pia nilienda pale chuo NIT nikawaambia shida yangu wakanambia tayari wamesubmit lakini niliporudi kuchek application yangu bado ilikua pending sasa sijui kama ilipokelewa

3854fa0b0a9e48ba66679ed98785d062.jpg
 
apo kuna vitu vimemi miss nazani ni attachment wafwatwe submission imekataa apo afu mda ushaenda watakua hatat tayari washapeleka majina TCU ya selected student wakahakikiwe
 
Attachment zote niliweka birth certificate academic certificate na form 6 result slip
 
rud kwny profile ako afu bonyeza submit afu angalia juu pALE UPane wa kushoto watakuonyesha vitu vinavyo miss ila sizan km itakubalii coz application si washafungaa
 
Nilpokua nikisubmit inaleta print then nika print lakn bado ikawa chenga tu na hapo upande wa kushoto haiandik wap nmekosea yan
 
Mmh itakua hukusubmit sababu nit ni chuo ambacho mfumo wao wa IT ulikuwa bora kuliko vyuo vingi kila hatua walikuwa wanakuonesha asilimia jins ulivoperform application yako, ulikuwa ikifika tisin inabak submit then ukisubmit inandika successful na asilimia 100 mi pia nimeomba hapo
 
usijali nafikili watachukua maombi kwani kwenye acount yako wameandikaje?
 
Nilpoenda kule nit walsema wamesubmit lakn kwny profile langu bado ni 90% na haionesh wapi cjakamilsha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom